@Eng_jubrin@HecheJohn Ilani gani ambayo haiendi na wakati hamtekelezi mambo ambayo ni urgent yanatakiwa kipaumbele kwa ajli ya maendeleo... What is happening to African brains
@HecheJohn@IAMartin_ Bro umeongea jambo la msingi sana sisi tunaotumia hii barabara kila siku tunajua vyema adha yake. Jana nilipata joto ya jiwe ya hii barabara mimi na dereva tulijadili kama wewe inawezekana vipi barabara kubwa hii ambayo ni kitovu cha nchi na inafungua uchumi inakua hivi.. shame
@Narrowbeeflying Njoo kinyerezi mwisho utaelewa anachosema huyuโฆ bank za nbc na crdb zimejengwa recently near kanisa. Viwanja vimepanda bei ghafla. Anachomaanisha kanisa linajua mipango miji ilivyo so wanakaa strategically