@swahilitimes Tangu lini walimu wa kiume wakaingia mabweni ya wanasichana?
Kwa Nini usingelalamika Kwa mwalimu mkuu?
Na Kwa baba Jose nani alikupeleka?
We huna kwenu wewe?
@AliKamwe Waislamu wenzako msimu huu wamefunga na vinywa vyao vinanena maneno mazuri ya staha,wewe Sasa na Hilo domo lako kutwa kuongea maneno ya dhihaka,hata manara tu anajua msimu wa mfungo huu ,ila wewe kuna sehemu unawashwa,au na wewe ndio umeleft group?
@tanescoyetutz Habari ,ninatokea mkoa wa Mara wilaya ya Tarime, Rebu,shida ni kwamba nyaya katika nguzo mojawapo zimelegea na hivyo kupelekea kukosekana Kwa umeme hapa nilipopanga,niliwajulisha tanesco mara kadhaa lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.Siku ya Tano Sina umeme!