@zittokabwe Ikiwa mtashinda kweli basi sitokuwa na hiana kuwa upande wenu na nitawatetea hadharani kwa nguvu zote lkn iwapo mtanshindwa ni dhahiri ninyi ni matapeli na wahalalishaji WA utekaji kwa kuamua kuingia kwenye uchaguzi kuhalalisha utawala wa CCM