@Kingvannytz_@Binamu01 Hyo ya wasioona ndo wanatambua hapo ukigusa ni kma vinundu flan ila ukianglia unaona mistar ila kipofu ndo antumia hyo mistar na anikunja hela kwa ulefu naipta hyo mistar
@DicksonLyimo6@Hunterjay12345 Kajala hua anampa naskia ndio mana almpa mpka gar na aalivoondoka akawa hana wa kumpa akawa anakula viboga vibovu poshy nae aliombwa inasemkna kunakiasi alitaka
@Jacquel95155911@ZPlanmaster Mtu mweusi ndo wa kwanza lakn badae waliend nchi za mbali kutafut maisha huko walikuta baridi kali na kubdlika kua weupe wakaishi huko na wengn tukaish huku mpka leo
"HEKIMA ya kiongozi wa Upinzani sio kukaa kimya mambo yanapoharibika .....HEKIMA ya Kiongozi wa Upinzani ni kupiga kelele pale mambo yanapoharibika"
LEMA 3:4-6