@officialkiraka@TriciaAbou Si hivyo, kocha anapatiwa nafasi 4 ya kuomba kuludiwa tukio. Tukio likiludiwa na maamuzi yakibadilika nafasi zake 4 hazipungui na ikitokea tukio limeludiwa na maamuzi yakabaki kama mwanzo nafasi za kocha zitapungua zitakuwa 3 na kuendelea hivyo....
@masoudkipanya Mpigaji penalty hana mashaka anajua kabisa akifunga kwa njia yeyote halali au siyo halali goli litakubaliwa ndiyo maana hakuhitaji mlinda mlango kwaiyo anamua kuonyesha uwezo wake binafsi wa kufunga ili kupunguza machungu ya wafatiliaji mpira.
@QSizya@bonifacejoseph_ Wakati ule anamalizia kazi ukwaju Kuna maombi alituma kwa chura na alikuwa na kadi ya uanachama kabisa pia alikuwa mzoefu kwenye uongozi na alihisi lazima apate ila kuna kitu kimoja hakuwa nacho so ikapigwa simu moja ya kinoko ya kufata policy ya klabu apo ndiyo mvutano ukaanza.