MASWALI 15 YA INTERVIEW
โโโโโโโโโโโโโโ
Leo tumalizie uzi wetu, uzi uliopita tulizungumzia namna na vitu vya kujiandaa kabla ya interview! Naamin umejifunza na km hujaona uzi basi utanimba na nitakupa link!
Long story short, tumalizie uzi kwa kupitia angalabu maswali 15 ambayo
๐ HOW UNPRESIDENTIAL โ Maendeleo yenu ipi, ya Zanzibar huko Kizimkazi siyo?
So unatunanga watanganyika kuwa sisi ni mbwa wapumbavu tunabwekea maendeleo yenu?
Hewala ๐๐ฝ
Ila #TutaelewanaTu
Mungu ataamua mwisho wa siku na #TutaelewanaTu
Unajua watu hawajui tabia ya Dhambi, ikifanyika mara ya kwanza watu uwa wanaitafutia sababu ionekane sio dhambi.
Ila kwa Mara ya pili, reference itakua ni ile dhambi ya kwanza, mara ya tatu itaonekana kawaida.
Inaitwa Social engineering.
Endeleeni kudhani mpo salama.
MADELU anaweza kuwa kiumbe wa hovyo zaidi kuwahi kushika madaraka makubwa ndani ya CCM na serikali. MADELU anaamini kulipa INFLUENZA ndiyo mradi wake wa kuwa RAIS WA MAWE utafanikiwa?
MADELU, siingilii mitkasi yako ya kishamba, lakini nafikiri tatizo la ajira ni kubwa sana Tanzania. Hawa PUNDA wanachukua pesa yoyote kusukuma reli, wanaweza kuua wakipewa hizi ELFU ISHIRINI.
CHONGOLO, pole sana, MADELU ametuma punda wake kusukuma agenda ufukuzwe. CHADEMA milango ipo wazi, njoo tukupe majukumu ukasajili wanachama porini kwenye CHADEMA DIGITAL.
@ze_mandevu Jugde anafanya maamuz mahakama za juu mfn High court au Court of appeal Ila Hakimu mahaka za chin mfn mahakama ya mwanzo,wilaya
Wakili ni mwanasheria aliyefuzu mafunzo ya kufanya practise yanayotolewa na LST Ila mwanasheria ni mtu yyt aliyegraduate either degree au diploma in law
Naitwa Justine Baada
Nimebobea na nina uzoefu wa Kutosha wa kuandaa nakufundisha Practicals ktk masomo ya sayansi.
Nina ubobezi wa kutengeneza kemikali mbalimbali pale ninapokuwa naandaa swali, hii inasaidia kuipunguzia shule gharama za ununuzi wa kemikali hiyo.
Inaendelea...