All Paid Courses (Free for First 4500 People).
𝗣𝗮𝗶𝗱 𝗖𝗼𝘂𝗿𝘀𝗲 𝗙𝗥𝗘𝗘 (PART - 1)
1. Artificial Intelligence
2. Machine Learning
3. Prompt Engineering
4. Claude, ChatGPT, Grok
5. Data Analytics
6. AWS Certified
7. Data Science
8. BIG DATA
9. Python
10. Ethical Hacking
(72 Hours only )
Like + RT + comment '' Drive ''
Must Follow me so I can DM you.
Mwanaume akianza kutengeneza pesa, hudhani anahitajika kuwa na wanawake wengi.
Mwanamke akianza kutengeneza pesa,hudhani haitaji kuwa na mwananume.
Jifunze kitu hapo.
Ikiwa upo katika age ya 20s,jitahidi kujiwekeza katika wewe“Kujiwekeza katika wewe??”Naam,kujiwekeza katika wewe.Njia ya kujiwekeza katika wewe ni kujifunza new skill kila siku alafu baadaye utaweza kuwa specific na skill moja/mbili ambayo/ambazo zitakuwa chanzo cha kipato chako.
Ukitumia pesa kuwaonyesha watu ni kiasi gani cha fedha ulichonacho,hiyo ndiyo njia ya haraka itakayokufanya ufirisike.
Zifanye pesa zako zikutengenezee pesa zaidi ya hizo ulizonazo.