#UZI
💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA.
Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya
Kulinda betri, data zako, na faragha.
shuka🧵👇
Kindly repost 🔄
1. Network Support: Je, ni 4G, 5G au mmWave?
Mwaka 2025 5G inazidi kuwa kawaida – hakikisha simu yako ina support ya 5G (hasa n77/n78 bands).
Kama unataka future-proofing, angalia simu zenye mmWave (fastest 5G), though sio lazima kwa kila mtu.
#UZI
💨 FEATURES 10 BORA ZILIZOPO KWENYE SIMU YAKO AMBAZO HUJAWAHI ZIJUA.
Ukinunua simu, nani husoma manual?
Lakini humo kuna features za kali unazopoteza kila siku.
Leo nakuletea mambo 10 ya ajabu ambayo simu yako inayo lakini hukuwahi kuambiwa!
[1/]