Jioni ya Leo Nairobi Nchini Kenya ,
Maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi hiki kigumu cha MAUAJI YA KIKATILI YALIYOFANYWA NA SAMIA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
@TanzaniaAnalyst@georgerugambwa Kabla ya uhuru, Wakristo wengi sana walikuwa wamepata elimu kupitia shule za wamisionari,jambo lililopelekea baada ya uhuru kuchaguliwa ktk nafasi za uongozi.hilo nalo inatakiwa ulijue.
@Nashemcee@iHumphreyz@Wakazi Mi nakumbuka tu ile mistari yako ya wimbo wa kaka Suma.kunakipande unasema "wananchi wakichoka wanageuka waasi,bila wasi wasi wanazama Mstuni na Vita ya Kudai HAKI"
Mistari yako inaakisi maisha yetu ya kila siku hasa katika kipindi hiki cha kudai HAKI.
Asante sana mtumishi wa Mungu!
Vijana kwa kweli wanatiwa woga na ujinga na CCM eti “kaa kimya pokea tshirt na vijisenti usitukosoe - una maisha mbele”
Maisha gani wakati ajira hakuna na familia zao watawala zinaiba mabilioni na kujenga majumba Dubai na Zanzibar? Wakati wanafisadi rasilimali kwa kufukuza wanaasai na kujenga mahoteli Ngorongoro?
Mnauza future zenu kwa sinia ya wali na tshirt?
Usiponielewa sikiliza haya mahubiri na AMKA! Tuseme imetosha! Hakuna wa kuja kutukomboa!
#NoReformsNiElection
Naombeni wasafiri wote mnaopita CHALINZE kuna ujumbe wa Askofu tunaomba udondoshe pale CHALINZE.
Yeyote akaye uokota ujumbe huu ujumbe pale CHALINZE bila shaka ataufikisha salama na kwa haraka kwa mlengwa..!
My take
Askofu anakerwa sana na madalali wanaojiita washauri wa serikali kwa manufaa yao binafsi.
Kama angekuwa karibu Mzee wetu alikuwa anakula Klebu la shingo.