TUNAKUMBUSHANA TU
Kwa wale wafanyakazi, mshahara unaofuata kutoka sasa ndio huo huo tutautumia Christmas, Mwaka mpya na ndio huo huo tutautumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba...ada n.k
..tunakumbushana tuu maana..
January is on
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Karibuni kwenye tawi letu jijini Mwanza, uweze kupata vilainishi vya Caltex Delo na Havoline. Wasiliana nasi kupitia namba 0787 867875 (Mwanza) na 0685 689900/1 (Dsm)
#FundiNgosha#UnakwamaWapi?