Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
@Royaltv_plus Ushauri mzuri kwa familia. Sasa awape ushauri mapolisi vilevile, walejee kwenye msingi wa kazi zao na kufuata sheria za nchi kwenye utendaji wao.
@millardayo Basi ilifaa waonyeshe kitambulisho cha kazi kubaini wafanyakazi halali na sio kuonyesha kitambulisho cha Mzanzibari. Pure discrimination. Stop the spinning!
*TUNA WATU. TUNA MUSTAKABALI.*
Miaka thelathini na mitatu ya mapambano imetufundisha ukweli mmoja usiotetereka: nguvu ya mabadiliko haikai kwenye dola, wala haikai kwenye woga, inakaa kwa watu. Taifa linaweza kunyimwa haki, sauti zikazimwa, na matumaini yakajaribiwa kufifishwa, lakini watu wakibaki, mustakabali haupotei. Watu si watazamaji wa historia; wao ndio waandishi wake. Kila kizazi hubeba wajibu wa kuamua kama kitanyamaza au kitasimama, kama kitaacha hofu itawale au kitaipa tumaini nafasi ya kuongoza.
*βTuna Watuβ* si kauli ya hisia; ni tamko la nguvu ya kijamii, ya mshikamano, na ya uamuzi wa pamoja. Ni uthibitisho kwamba mabadiliko ya kweli huanza pale wananchi wanapotambua thamani yao na haki yao ya kuamua kesho yao. Na *βTuna Mustakabaliβ* ni ahadi kwamba safari ya haki, usawa, na demokrasia haiishii leo, inaendelea kwa sababu watu wapo, wanaona, wanafikiria, na wako tayari kusonga mbele.
Hapo ndipo tumaini la taifa *linapokaa: mikononi mwa watu.*"
_John Heche, Makamu Mwenyekiti - Chadema(T)
@TheChanzo Kwani wale wanachama mil 31 waliowapigia kura na wao pia wamewasusia hao wasanii?. Mbona support ya hao wanachama inatosha kabisa. Hizi lalama wala sio za lazima.
@millardayo Huduma basic kama maji zinakosekana halafu nyuma tunarudi kujidanganya kwamba tunaonewa wivu na mataifa ya nje kwa rasilimali na maendeleo yetu. Watanzania waamini kwamba fedheha ndio uzalendo na maendeleo?. Do the right you MF*.