@Mndewa11@swebe90@YoungAfricansSC Una hoja sema watakupika tu, yanga hawana midfielder anaeeleweka, me pia nilitegemea hili dirishe eneo la kiungo ndo litapewa kipaumbele lakini haijawa hivo
@njiwapori_ Kadri unazidi kujua vitu vizuri ndivyo unavyozidi kujua vitu vibaya, picha za zamani zinaonekana hazina quality Kwa kua umekutana na umejua picha zenye quality zaidi, so ubongo wako unafanya comparison ni lazima tu uone zile za zaman hazina quality,
@bright_ludwig Nadhani kumpenda mtoto mmoja zaidi ya mwingne sio shida tatizo ni kumpendelea mtoto mmoja zaidi ya mwingne, chagua mtoto wako pendwa ila usilioneshe Hilo jambo Kwa watoto, baki nalo moyoni
@Sincerelyrahma7 Kuna ugonjwa(tuiite tu condition) inaitwa OCD( obsessive compulsive disorder) huenda ndo akawa nayo, sio kwamba anafanya makusudi ni shida hio, mshauri akamuone mtaalamu wa afya ya akili
@IamMadamAkinyi@mkomwanassib_ Kombe halisi hua linarudishwa, team bingwa hua inapewa replica(tuliite kombe bandia)Kwa ajili ya kuweka kwenye makumbusho Yao
@theckyone@MickyJnr__ Hapana, bado ni mchezaji wa wydad ili mkopo ukamilike awe mchezaji wa Simba inabidi Simba alipe hio pesa waliokubaliana, Sasa Simba wao wamemtangaza kabla hawajatimiza makubaliano ya mkopo
@vliandro_gerald Nadhani pia radio nyingi hazina contents za kuongelea, ndo maana unaweza kuta kitu kidogo na ambacho sio significant wanakichambua Kwa muda mrefu, Kuna vitu vingne ni vya kuhabarisha tu watu sio vya kuchambua ila navyo unakuta wanavichambua
@MarekaMalili@MadamVero61349 Lack of integrity na ubinafsi ni janga sana kwenye hii nchi, Yan Kitu kiovu kinafanyika wewe unakaa kimya Kwa kua tu hakiku-affect seriously? Tupo kwenye jamii ambayo kutofata utaratibu ndio ushujaa, mindset ya hovyo kabisa
@MarekaMalili Wenda nikawa sijakupata vizuri kaka mkubwa, huyo wa laki Kwa siku 10, si atakua na M3 mwisho wa mwezi af huyu wa mwisho wa mwezi atakua na 1M,hoja yangu ni kwamba mwisho wa siku Hawa watu watakua tu wanatofautiana vipato pia, au Kuna kitu nakimiss?