@MickyJnr__ Sasa km dead line ni Julai 31 mbona bado wapo ndani ya muda kulipa hiyo hela? Waseme tu hawataki aendelee kucheza Simba wamepata timu ya kumuuza mbona ni rahisi tu?
@royalmediatz Si mliondoka? Nongwa za nini? Chadema ni ya wananchi sio ya mbowe. Wakati wa Mbowe umepita imebaki historia wewe dili na Chauma yako mambo sijui chadema ilikuwa nzuri wkt wa Mbowe sababu mlikuwa mnafaidika nayo.
@ezekiel_kamwaga Miaka ya 80's ya kufunga mkanda si Rais aliyekuwepo hakupenda kupokea ushauri wa wataalamu 1985 alivyoona uchumi huko hoehae akang'atuka but it was too late.
@privaldinho Simba sio prison bwashee hao ndio mnaowamudu. Mlilalamika uwanja mkachagua nyie uwanja wa Dodoma mlivyocheza mliuonaje? Bora hata wa Isamuyo. Simba ni mwenyeji uwanja wowote aliochagua km umekidhi kucheza mechi za ligi kuu hkn shida. Wewe mwenyewe hata uwanja wa mazoezi huna.