@StarlinkTz@Labella_Mafia95 Ndio maana diamond hajapinga hilo akasema utaifa hausaidii kitu kama brand yako bado changa tena inside your country..... soma tena
@officialshakuu@humphreyPallan5 Hata huyo jamaa utakuta anawambia watu mke wake ana kazi ila hana noma coz mke taabu zake ni siri yake ๐๐ dem wako je?
@dicksoni96@EsirEid Algorithm mzee ni kitu simple ile code ni unique ID so ni rahisi sana kuchambua watu waloingia kwa hyo unique ID kwenye mfumo very simple algorithm
@rwiza_jord48913@Sativa255 We una makasiriko yako tu.... kaeleza vizuri kabisa jinsi alivyokuwa amevaa anakumbuka ina maana ndio anavovaaga siku zote, jezi na kushika ma simu kama hvo sa hapo huwezi kuhusianisha ama ni unovu wa akili
@DRPHONExpT@kaji_sijo ๐๐๐๐๐ fala sana wewe bora ungekaa kimya tu Africa pekee ina nchi 54 kuna mabara saba duniani fanya research kabla hujaropka
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.
Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro
Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.
Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile
Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K
Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.
2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani
@raphinha_jm7@fbuyobe Hyo video unaona imechukuliwa kutokea ndani nadhani dirishani tena ni kioo ambacho kwa nje mtu hawezi kukuona ukiwa ndani....ulitaka msaada gani mwingine???