Kwamba siku mabomu yakiripuliwa maeneo ya mbezi,masaki,sinza na goba tunaezapoteza 76% ya watu maarufu na muhimu kwenye taifa letu 🤔🤓 wasanii na viongozi mbalimbali acheni ushamba
Kwa tasmini ya kawaida kabisa ukitoa jeshi zaidi ya watanzania 90% hawana mafunzo yoyote ya kijeshi na matumizi ya silaha na zaidi ya 90‰ ya watanzania hawamiliki silaha,
Swali ni je nani mtekaji!?
Wasiojulikana ni kina nani!?
@wasafifm @CrownMedeaTz @CloudsMediaLive@earadiofm