Hivi ikatokea watu wakasikia story za uongo kuwa upo kwenye mahusiano na fulani then reaction za hao watu kuhusu hilo ziwe asilimia 80 ni negative kuwa hawajapenda au kuamini kama inawezekana au itakuwa sawa hii inamaniisha huyo mtu ni sahihi kwako au si sahihi?!