Ardhi University Alumni | Teacher | Land Economist and Consultant in Real Estate | | Ex -Vice Pesident ASSOCIATION OF REAL ESTATE PROFESSIONALS | Free Thinker |
@SaidAliMbarouk@ACTwazalendo Tatizo sio polisi, tatizo ni nyie wabunge. Kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali, sasa ukiona serikali (polisi) wanashida ujue Bunge halitimizi wajibu wake.
LKN kama ungekuwa muelewa, ungejua kuwa kila sekta ina shida kwa hiyo dawa sio polisi bali mfumo hivyo kubadili KATIBA ndo.
@EduTalkTz Hapo mwisho I anasema kuwa wanataka hela yao kabla ya kuanzia kazi. π€£π€£π€£π€£
Sasa kumbu hawajaanza kazi.
Wale wa intelijensia ya mtandao wapo wapi?
Mtu anayesimamia misimamo yake,
Mwenye akili timamu,
Anayefahamu vyema CHADEMA ni nini na CCM ni nini,
Hawezi Hama CHADEMA na kwenda CCM, Hii nakataa.
Ni Bora angetoka CHADEMA akakausha nyumbani, Then aseme anarudi CHADEMA.
KITENDO cha Kwenda CCM, Huyo ni malaya wa Siasa, hana misimamo.
@MsigwaPeter@MwauraRobert2 Peter, umejianika sana. Kupanda treni isikokwenda sio tatizo, tatizo ni kuwa ulipoenda CCM ulitionesha sura yako halisi. Kurudiii CDM ni kwa kuwa umekosa ulichofuata huko CCM. Vitendo na maneno yako yamesababisha watu wengi wakaumia/umizwa. Madhara uliyosababisha hayaponyeki.