@Mounster___@BracuszCadabra Hakuna mchezaji pale tukubali tu mcheza marafu kama wengine tu namba 6 tatizo fullback zote tatizo kuna umuhimu gani wa kukaa na loemba na maema huku full back hatuna wa maana
Na kuhusu domimbia mpira hajui full stop
@MswatiKing_01 Yanga wamekamilika ndugu sio uwanjani tu hata kamati yao ya ufundi ipo vzr ila nyie ngungu boy na wahunj wenzake hatutoboi pale miaka mia
@SimbaSCTanzania Timu imejaa siasa sana kuliko vitendo shida sio sele kuondoka ila shida nyie kwa nyrie hakuna kuaminiana na hakuna usiri kwenye taasisi yenu hata kidogo na maelewano hakuna uzeni na libase huyu kabisa tujue tunaanza upya tena
KATIKA HIZI PIKIPIKI 06
TAYARI TATU ZIMEISHA
HAOJUE MNINGA 125 π₯π₯π₯
REG" #DGA
REG" #DGB
REG" #DGE
ZIMEUZWA ZOTE SINGIDA
SIMU MOJA AMETUMA PESA SAHIVI ZINAFANYIWA LOGISTICS ILI ZIMFIKIE
SHUKRANI SANA πππ