Kwa wale mnao amini:
1. Kuwa CCM ina nia njema ya Taifa kuridhiana
2. Kuwa CCM ina nia ya kuwapa Watanzania haki yao ya Kuandika Katiba Mpya.
Namuomba Mungu awapeni macho ya kuona na Masikio ya kusikia yatakayo fuata kwenye suala la Nchimbi na uongozi wa Chama Dola - CCM 1/4 👇
lazima tutafute namna ya kuwasaidia wenzetu waliopewa kesi za 'ugaidi.' kama alivyoonya prof. shivji, na kama uzoefu unavyoonesha, hawa watu watasota sana gerezani maana serikali inajua haina kesi ya kuthibitisha, na mahakama hazionekani kuwa tayari kusaidia watu wa aina hii.
I'm really proud of this dude. He's a rare gem in our ongoing liberation struggle. He's gone above and beyond, and he keeps pushing forward with incredible perseverance. Mungu linda huyu mwana mwema. Sisi tunakuamini Wewe na ahadi zako. Na hakika zitatimia!
@TitoMagoti Lissu na chadema anaita wenzake wanatafakari yaani anajizima data kesi awape yeye uhaini,ugaidi Bado awateke na kuwaua na kuwawinda kila siku aafikiri wanafanana na madalali wa siasa kama act na chauma
@TitoMagoti Kwa Sasa Majaji na Mahakama haziko huru,toka mwanzo kwa Mahakama huru zingekata AIBU,ila kwa kuwa mleta KESI dhidi ya Mh Lissu ndo mteuwa majaji na kuwapanguwa KAZI wasipomfurahisha. Just AIBU hii Majaji wamechukua MIEZI MITANO kutoa tafsiri kinachoitwa marejeo Yote Yana Mwisho.
"Yule mwenzetu bado anafakari, ametoa masharti," maana yake, Tundu Lissu amekataa kufanya ujasiriamali wa kisiasa.
Muuwaji wa Kizimkazi umeamua kuita madalali wa kisiasa mzungumze, yet the problems remain at large.
Lazima uwajibike kwa mauwaji.
Pia Lissu sio mwenzako!
😁😁 Ugaidi ime Backfire big time!
Sisi tunashikilia hapohapo kila kona tunawabana!
Hamuwezi kujiamulia tu upumbavu!
Jamani tukomae na kutangazia dunia kuwa #Tanzania si salama maana wanateka na kuua na kuwapa kesi za ugaidi wakosoaji!
A luta continue
Peleka motoooo 🔥👊🏽
#TutaelewanaTu
ABC News ya Marekani imeripoti kuhusu kesi za ugaidi Tanzania…..
Hii ndio Tanzania ya Jakaya Kikwete na Samia Suluhu. Wako tayari Tanzania ipoteee na kuwa kama Sudan ila sio wao na familia zao kuachia nchi ili Watanzania wapate haki ya kuchagua bunge lao, Chama chao and most importantly rais wao….
Inabidi Watanzania muelewe kuwa nchi ipo hapa sababu watu wawili na washirika wao wanataka kuinyonya Tanzania milele.
Hii ndio Tanzania chini ya chama cha mapinduzi…….
Ahsante @HecheJohn kwa kuendelea kurisk uhai wako kwa manufaa ya nchi yetu.. Watanzania hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua. Wewe na Lissu ndio viongozi pekee Tanzania mnaostahili kuombewa na Watanzania.
https://t.co/1zFJm9z9pC
“Kila tukienda kwenye mikutano tunapewa Pesa na CCM ili ionekane Nchi hii kuna demokrasia, Hosptalini hakuna dawa ila pesa za kutulipa wanapata na sisi hatutaacha kuzichukua.” - HASHIM RUNGWE
‼️NYONGEZA‼️
Hii “maadili ndogo” nimefuatilia kumbe ni kuhojiwa na Wasira 😁
Sasa Wasira ana bifu la kufa mtu maana anadai Nchimbi alipokuwa katibu mkuu alimkata mwanae ubunge akampa Esther Bulaya! Pambanenii! 👊🏽😁
Alafu sasa kumbe kosa la Nchimbi ni kumsingizia Rais kuwa ana nia ya kuleta katiba. Clearly kimama hana mpango huo na ndiyo maana kataka Nchimbi apelekwe maadili ndogo - very good!
Acha inyeshe na dhoruba juu
Sisi yetu macho hadi #TutaelewanaTu
@HildaNewton21 Fikiria Mahakama ya Rufani imechukua mwezi mzima kutoa tafsiri itoshe kusema hatuna Majaji Wala Mahakama huru kwa kipindi hiki. Sheria ilikuwa wazi ila wanafanya KAZI kwa hofu na kumsikiliza mwenye KESI dhidi ya Mh Lissu anasemaje.
Mungu atawaadhibu kwa roho mbaya zenu hizi
Mpaka zero brain la taifa linatoa milio na bado.
Alafu mimi nayashangaa yanavyoongelea 2030 as if kuna uchaguzi ulifanyika 2025.
Kinachochekesha yanawaza yenyewe kupeana Urais 2030 na sio kutoa haki kwa Watanzania ili waweze kuchagua Rais wanaemtaka. Alafu wanaita wananchi wanaodai haki magaidi. Hiki kinachofanywa na kina Bashite ndio ugaidi wenyewe.
Nyie endeleeni kuteuwana vyeo lakini kaeni mkijua kwamba Ccm ilikufa baada ya yale mauwaji ya #29October . Hakuna mtanzania ambaye ndugu yake hakujeruhiwa na mauwaji ya haraiki .#SamiaMustGo