@RealHughJackman I was re-watching Prisoners (2013) last noght..didn't like the way it ended..you blowing whistle from underground looking for rescue..and the movie ends
@udsm_icon Nilimchukia episode ya kwanza na ya pili tu..alikamata binti kwa makosa ya uongo ili amlazimishe mama yake binti atoe taarifa zitakazomfikisha kwa Jackal..binti alifia mikononi mwa polisi na bado akawa anamficha mama yake..Im glad huyo Bianca alikufa pia