@PMadeleka Wew ulikuwa polis na sasa ni wakili nikuulize wew Yale ya October 29 yalikuwa Ni maandamano? Ucjizime data Kama wanaharakati uchwara wanaosema Uchaguzi haukufanyika
@CharlesMur61238@godbless_lema Si sawa na huyo ulie mtag, yuko tayar kushawish vijawana wakavunje Sheria ili apate Madaraka, Yuko tayar kuichafua nchi yake kisa hajapata ubunge na kuona waliopata ubunge hawafai ila yeye ndo anafaa, Mnaitangaza Tanzania haina Amani, mnaisema kwa ubaya dunian afu usikitike kukos
@godbless_lema Ko unataka watu waandamane eti kisa Lema kakosa ubunge? Unatoa namba ya mtu alafu mnahamasishana kabisa makamanda tukamsalimie, mnaenda kutukana viongozi wa serikali. Afu mnakuj mbele mnajifanya victims dah,mumewapata wafuasi wajinga wanaowaamin wanasiasi wenye tamaa ya Madaraka
@VictorMasatu@TanzaniaLeaks Basi unatatizo mahala, bro inawezekana shida tu ulisoma na hujapata ajira, ndo hasira zote hizo. Kazi zipo ila ajira ndo changamoto, fanya kazi kuwa busy na unachokifanya hutorudia ulichokiandika hapo juu, na kama unaona ni ukweli propaganda za mange na genge lake. Ah
@Saguge@TanzaniaLeaks Watanzania,kama munamuunga mkono mbona hukutoka 29 ?akasema tena 25 dc hukutoka, 1/1 hukutoka? Hao icho wananchokifanya wanalipwa madola. We fata upepo. Ukiwa una kazi ya kufanya ukawa busy na uchokifanya huwezi kuwasapot akina mange na genge lake. Wanakupotezea mda .
@MpushyOfficial@TanzaniaLeaks Mimi niko Tanzania, kazi kubwa inayofanywa na Serikali naiona sihitaji mtu anipe Hela kuisemea Tanzania, ukimuuliza mange Mara ya mwisho kuja TZ ni lini utashangaa. Wakati tumepigwa lockdown hatutoki ndani ye alikuwa anakula maisha Marekani.
@chapanombombwi@TunduALissu Mnapenda kuwasemea watanzania, Kwan mkisema wanachadema mnaharibika wap? Uyo role model wake ni Mandela, sasa hata mwaka bado Makelele yamekuwa mengi, em hata 5 yrs kidogoo