Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.
Lissu tuvushe baba tuvuahe.
2015 Jecha alifuta Uchaguzi wa Zanzibar akidai CUF wamevunja Sheria ya Uchaguzi kwa kutangaza Matokeo ya Ushindi, kazi inayofanywa na Tume pekee. Mwaka huu, CCM wamevunja Sheria hiyo hiyo kwa kutangaza waliopita bila 'KUPINGWA' Tume imetoa ONYO, kazi INAENDELEA.
DOUBLE STANDARD
Unapoona vijana wenzio wanajitahidi kupambana kuvunja minyororo ya ukosefu wa ajira na Umaskini kwa kupambania uhuru wa kiuchumi, ni muhimu kuinuana na kusaidiana!
Tumpe support ndugu @mpambazi_
Tume ya Taifa wanaleta ujanja wa kung'ata na kupuliza, mdogo mdogo!!! Wanataka wananchi wazoee hali ya wagombea kukatwa na wengine kupita bila kupingwa!!!. Ndo maana wanaachia wachache huku wanasikiliza kucheck upepo!!!
Tafsiri ya Kijiji, kina idadi ya watu kati ya 500 na 2500. Sasa, unawezaje kujenga Airport na Stadium kwenye Kijiji. Ufike wakati tuwe SERIOUS na matumizi ya fedha za Umma. Tungeweza kujenga zaidi ya ZAHANATI 150 na kuhudumia maelfu ya Watu.
Fikiria tu muda Mtu anaotumia kujifunza Kiingereza ajifunze na aelewe miaka 4 tu ya Sekondari anakuwa hajaelewa Kiingereza sawa sawa na anakwenda tena form 5 na 6 bado anakuwa vilevile, kwa kifupi Watu wetu hawajui Kiingereza.
"Uchaguzi huu hatutakubali kuibiwa, tunajua hautakuwa uchaguzi rahisi lakini uwe huru na haki" Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya @ChademaTz
Mhe @TunduALissu - Bonyeza ->https://t.co/SbvifPEl3Y kutazama mkutano na wahariri. Leo 9/9/2020.
#SasaBasi#UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu
Namna Mabinti Wana Comment kwenye Post ya Yule Binti Kampata Bwana humu TL inaonyesha Wengi wanatamani Ndoa, wanatamani Kupendwa na Kupata wenza wa Maisha Tatizo Maringo, standard kibao na Dharau zao zinawaponza!
Huko anakozurura Meko aulizwe kwa nini alihamishia ATCL ikawa chini ya wakala wa ndege za serikali iliyoko chini ya Ikulu?anaficha nini? Maana kuna ndege za ATCL 3 anakodisha nje ya nchi na sijui hela anapokea nani. CAG hawezikukagua hili shirika.. MEKO ni MWIZI SANA..