🗨 Pamoja na professional education mfano;udaktari,uwalimu,uhasibu,uinjinia nk!!
Ni elimu gani nyingine Muhimu kuwa nayo ukiachana ile ELIMU YA KIFEDHA?
"Hivi huwa ni kwanini mpigapo picha ya pamoja hata mkiwa Watu 100+ wengi wetu kama si wote kila mmoja anaanza kutafuta & kuanglia picha yake kwanza?
-Kitaalamu ipoje na inaitwaje hii kitu?"