@shibobo___ @TBoundBuses Kaka vip tunapo kwenda dar hatupitii nanenane tunapitia mbalizi kituo cha mwisho songwe airport huku kuteseka unajitakia mwenyewe
@Sirajitz1 Shida jamaa muda wa kuichapa alikua anavaa bora angepiga kavu tu ili awaachie na kijukuu kabisa halafu huyo mume mpya asipo angalia kwenye hiyo ndoa kati ya watoto wa 3 mmoja atakuwa siyo wake 🫡