Top Tweets for #16DaysofActivism24
Tumalize maadhimisho haya kwa kuahidi kuchukua hatua dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na kujenga Dunia yenye Haki na Usawa
Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunakuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mabadiliko ya kweli
Soma https://t.co/QFQf2ioBRZ
#JamiiForums #16DaysOfActivism24 #WomenRights #EndGBV #ProtectWomen #JFWomen #NoExcuse #PingaUkatiliMtandaoni

Women & Girls are disproportionately affected by Climate Change.
To end the #16DaysOfActivism24, tomorrow in collaboration with @ICCDIAFRICA, our advocates @DoahSayb & @amee_abdul would speak at the #ClimateWednesday Conversation.
Listen: https://t.co/xw1NUBTv6Q
#AACJInAction

GETRUDE DYABENE (Wakili): Unapokuwa na mtu ambaye anakulaumu kwa makosa kila mara bila kujali uhalisia upoje, huo nao ni #Ukatili kwa kuwa ni sehemu inayoweza kumuumiza mlengwa Kisaikolojia
#JamiiForums #HumanRights #LHRC #Governance #16DaysOfActivism24 #WomenRights #EndGBV
GETRUDE DYABENE (Wakili): Sheria zetu kuhusu Ukatili zinaangalia zaidi kama kesi imefikishwa Mahakamani na kumalizika, bila kuwa na nafasi ya kuangalia nafasi ya Waathirika baada ya hapo
#JamiiForums #HumanRights #LHRC #Governance #16DaysOfActivism24 #WomenRights #EndGBV
DKT. ROSE REUBEN (Mkurugenzi Mtendaji TAMWA): Pamoja na ripoti na taarifa za Ukatili zinazotajwa kwenye Vyombo mbalimbali, bado kuna matukio mengi ya Ukatili yanayosikika chini kwa chini na hayaripotiwi
#JamiiForums #HumanRights #LHRC #Governance #16DaysOfActivism24 #WomenRights #EndGBV
GETRUDE DYABENE (Wakili): Ripoti ya Aprili 2023 ya Kituo cha Haki za Binadamu ilionesha kuwa, kuna ongezeko la Wanaume ambao walifanyiwa Ukatili kwa Mwaka 2023
#JamiiForums #HumanRights #LHRC #Governance #16DaysOfActivism24 #WomenRights #EndGBV
Spotlighting Unwavering Voices!
Today, we acknowledge Hassan_maina of @ASVIOLNg for her contributions towards creating a safer society, one survivor at a time.
What's your role in #EndGBV? #NoExcuse
#OrangeTheWorld
#16DaysOfActivism24

Breaking barriers for women in politics and public leadership will significantly contribute to creating a Nigeria that is free of gender-based violence.
#WomenInAdvocacy
#16Days
#16DaysOfActivism

Wafahamu baadhi ya Wanawake wa Kitanzania waliofanikiwa kuvunja vizuizi vya Kijinsia katika nyanja mbalimbali, wakichochea mabadiliko na kuleta usawa kwa vitendo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia
#JamiiForums #16DaysofActivism24
Still on the #16DaysOfActivism24 let the victims of GBV know their rights.
#LetWomenLead
#AGYWAdvocacyForum
#OrangeTheWorld

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers















