Top Tweets for #ACTWAZALENDO
Katibu Mkuu wa Chama cha #ACTWazalendo, Ado Shaibu ameyasema hayo wakati akizungumza na Viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi za makao makuu ya chama hicho Julai 30, 2026.
Zaidi https://t.co/RGFWip1jQm
#JamiiForums #Demokrasia #Utawala #Uwajibikaji
DAR: Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha #ACTWazalendo ameyasema hayo Mei 23, 2026 wakati anazungumza na Wanahabari kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel, Ubungo.
Fuatilia zaidi https://t.co/u3YXUXnmgw
#JamiiForums #JFMatukio
Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman wa Chama cha #ACTWazalendo, amesema hayo wakati akizungumza na Mwandishi wa BBC, Sammy Awami, Mei 21, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/5zFRgsrL2O
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
*📍 Mwanza*
Janeth Rithe, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, akizungumza katika Kongamano la Wanawake.
Amesisitiza mshikamano na ujasiri wa wanawake kusimamia haki.
*#MachoziYaMamaDeniLaTaifa*
*#ACTwazalendo 💜*

DAR: Kiongozi wa #ACTWazalendo, Dorothy Semu amesema hayo Machi 3, 2026 alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika hafla ya uzinduzi wa Mnara wa Mashujaa uliyofanyika katika Makao Makuu ya chama hicho.
Zaidi https://t.co/LCFo8F0676
#JamiiForums #HakiZaBinadamu #HumanRights
Janeth Rithe, Mwenyekiti Ngome ya Wanawake Chama cha #ACTWazalendo aliyasema hayo Februari 26, 2026 alipokuwa anazungumza na Wanahabari, Dar es Salaam.
Aliongeza “Oktoba 29, 2025 hatukupoteza Kura tu, tulipoteza sehemu ya miili yetu, Waume waliokuwa nguzo za familia, Watoto waliokuwa ndoto ya kesho na ndugu waliokuwa marafiki wa dhati.”
Zaidi https://t.co/wziC73ipCT
#JamiiForums #Governance #Democracy

Ni miaka 5 sasa tangu aliyekuwa Mwenyekiti wetu, Maalim Seif Sharif Hamad atanguliye mbele ya haki.
Tunaendelea kuukumbuka uongozi wake na mchango wake katika kukijenga chama chetu.
#MaalimSeif
#ACTWazalendo

Wananchi wa Kigoma Mjini na viunga vyake, tarehe 29 Oktoba tusibaki nyuma! Weka tick kwa Zitto Kabwe – sauti ya wananchi, nguvu ya mabadiliko!
#ACTWazalendo #MaendeleoKwaWote
@zittokabwe

TAARIFA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo atatembelea Soko la Darajani kesho Jumamosi 20 Septemba 2025 saa 4 asubuhi, kukutana na wafanyabiashara na kuzungumza na vyombo vya habari.
#OMO2025 #ZanzibarMoja #ACTWazalendo

@zittokabwe @ACTwazalendo #Godbless_Lema bado anatuletea kasumba zile zile mlizotofautiana mlipokuwa chama kimoja...Bado analeta kasumba bado nikinara wakusambaza majungu.
Watu wenye maarifa yao wanamshangaa sana Mtu huyu...Wengi wanasema Lema anakhofu sana kuona #ACTWAZALENDO inakuwa..Haki itashinda.
#Tanzania High Court has ruled opposition leader #LuhagaMpina of the #ACTWazalendo party can stand in October’s presidential election. But with other potential challengers jailed, it looks like a minor concession by the government to try and reduce international censure.
https://t.co/6clQYzuePl
📢 Mpina is back on the presidential ballot after INEC reversed its decision. Though he has only 45 days of campaign time, he vows to visit all 272 constituencies and win.
#mpina2025 #TanzaniaElections #ACTWazalendo #TanzaniaPolitics #YouthVoteTZ #ChangeForTanzania

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama cha #ACTWazalendo, Edwin Kachoma ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu akidai amekosa ushirikiano kutoka Makao Makuu ya chama hicho, ikiwemo kushindwa kumpatia vifaa vya kampeni kama bendera na nyenzo nyingine muhimu.
Soma https://t.co/nNs06FGtwK
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Democracy #JFUchaguzi2025
DAR: Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha #ACTWazalendo ,Luhaga Mpina, leo Septemba 3, 2025 baada ya kusikiliza kesi yake ya Mapingamizi ya kugombea nafasi ya Urais dhidi ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC) iliyofanyika kwa njia ya Mtandao, amejibu kauli iliyotolewa awali na Mgombea Mwenza Urais CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi kumtaka kurejea kwenye chama hicho.
Mpina amesema wanaosema arudi nyumbani CCM amewaambia hawezi kurejea kwa maelezo kuwa CCM ni Chama ambacho hakishughuliki na Matatizo ya Wananchi.
Soma zaidi https://t.co/fnRpuwwDFN
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #UchaguziMkuu2025
MANYARA: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini kupitia tiketi ya #ACTWazalendo, Flatei Massay, leo Septemba 2, 2025 ametangaza kurejea Chama Cha Mapinduzi (#CCM), hatua hiyo imekuja baada ya awali kuondoka CCM kufuatia kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya chama hicho.
Massay alichukua fomu ya kugombea Ubunge kupitia ACT, Agosti 24, 2025.
Soma https://t.co/uULze15jUA
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Demokrasia #UchaguziMkuu2025
Mheshimiwa Othman Masoud Othman kwa pamoja na ACT Wazalendo tunaamini Zanzibar yenye haki, mshikamano na maendeleo ni lazima.
#OMO2025 #ACTWazalendo #zanzibar

Chaguo la mabadiliko. Chaguo la mshikamano.
Othman Masoud Othman – OMO 2025
#Zanzibar #ACTWazalendo #OMO2025

IRINGA: Chama cha #ACTWazalendo Tawi la Mafifi kimetoa taarifa ya kumvua uanachama Monalisa Joseph Ndala baada ya kupitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai za Wanachama wa Tawi na kubaini kuwa amepoteza sifa za kuwa mwanachama halali na hai kwa mujibu wa katiba ya ACT ya Mwaka 2015.
Taarifa hiyo imeeleza “Kamati ya Uongozi ya Tawi imejiridhisha kuwa wewe Monalisa Joseph Ndala umeshindwa kutekeleza matakwa ya Katiba ya Chama na hivyo kupoteza sifa ya kuwa Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo.”
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Agosti 28, 2025 imesema “Tunakujulisha rasmi kuwa kuanzia 28/08/2025, Kamati ya Uongozi ya Tawi la Mafifi tumekuondoa katika orodha ya Wanachama wake katika regista ya Tawi na Kadi Namba 0000245 iliyokuwa imeandikishwa kwa jina lako ipo wazi na tumeitaarifu Idara ya Oganaizesheni, Uchaguzi na Wanachama ya Chama Taifa ili iweze kutolewa kwa Mwanachama mwingine.”
Soma https://t.co/nUKzZObife
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #UchaguziMkuu2025

DODOMA: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo imetoa siku tano kwa Serikali kujibu kesi ya #ACTWazalendo na Mwanachama wake, Luhaga Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kuhusu mchakato wa uteuzi wa Wagombea wa Urais uliofanyika Agosti 27, 2025.
Serikali iliomba kupewa siku 14 zaidi kuwasilisha majibu, lakini ombi hilo lilikataliwa. Mahakama imeeleza endapo itabaini INEC ilikiuka Katiba na Sheria kwa kumzuia Mpina, inaweza kutoa amri ya kumruhusu kurejesha fomu na kuteuliwa kugombea Urais.
Kesi hiyo, ambayo Mahakama imeeleza ina maslahi mapana ya Kitaifa, itatajwa na kuanza kusikilizwa kwa njia ya Mtandao Septemba 3, 2025 Saa 3:00 Asubuhi.
Zaidi Soma https://t.co/5zcPdJSiEU
#JamiiForums #JamiiAfrica #UchaguziMkuu2025 #Demokrasia

Last Seen Hashtags on Sotwe
成人展
Seen from Germany
momson()**************************
Seen from Turkey
BingoMegasaya
Seen from Germany
LavaonFlipkart
Seen from France
رقص_سكسي
Seen from Germany
تانجو
Seen from Brazil
Tits
Seen from United States
incestdaddy
Seen from Peru
femdom
Seen from Ecuador
BokepTerbaru
Seen from Indonesia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers









