Top Tweets for #APHTA
UMMY MWALIMU: Nasisitiza kusema kuwa majadiliano (#APHTA na NHIF na Wadau) yafanyike wakati huduma zikiendelea kutolewa, kwa kuwa tunaenda kwenye Mwaka wa Bajeti bado fursa ipo
Nazielekeza Hospitali zote kuendelea kutoa huduma kulingana na Masharti ya Leseni na Usajili wao
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
UMMY MWALIMU: Nasisitiza kuwa kuna ushirikishwaji mkubwa wa Wadau tangu Mwaka Agosti 2022, hivyo Wizara inasisitiza umuhimu wa majadiliano ili kupata suluhu na milango ya Wizara ipo wazi. Tunawakaribisha #APHTA kujadiliana
Waseme kwa vigezo sio kuishia kusema “hatutaki” na wakatae kwa ujumla. Nawakumbusha kuwa kila Mtoa Huduma ameingia mkataba yeye na NHIF, hilo lizingatiwe
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
UMMY MWALIMU: Sehemu ya mapendekezo ni kuwa fedha atakayolipwa Daktari Bingwa wa #Lindi ni ileile atakayolipwa Daktari Bingwa wa #Katavi, #Kigoma, #Rukwa na Mikoa mingine yote
Ndivyo hivyo kwa malipo ya Madaktari wa Kawaida. Kwa hilo #APHTA wamekubali hoja lakini mengine wanayakataa, watuambie wanakataa kwa vigezo gani?
Hivyo, Serikali imeelekeza #NHIF kuendelea na Kitita chao lakini wazingatie maoni ya Kamati, ndio maana hata bei ya kumuona Daktari imebadilishwa kwa NHIF kurejesha ile iliyopendekezwa na Kamati
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
UMMY MWALIMU: Kwa nafasi yangu ya Waziri wa #Afya baada ya kupata taarifa ya Kamati, nikaita kikao kingine Februari 20, 2024 kikiwashirikisha #NHIF, #APHTA, #CSSC, #TIRA, #MAT na #BAKWATA, taarifa ile ikawasilishwa kwao, hakuna hata Mwanachana mmoja wa APHTA aliyesema hakubaliani na vigezo
Wakaomba muda waangalie na wakokotoe, tukaridhia, pia suala hilo tukaliwasilisha #Bungeni ili kupata maoni
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
UMMY MWALIMU: APHTA (Vyama vya Watoa Huduma wa Sekta ya Binafsi) waje mezani waseme ‘mmetuwekea faida ndogo’, waseme ‘Dawa hii haiuzwi bei hii’, sio wanatukosoa tu na kusema hatutaki Kitita
Nawaomba #APHTA warudi kwenye meza ya majadiliano, kwani Kamati iliweka vigezo, nao walete vya kwao au waseme vigezo hivi na hivi havipaswi kutumika katika kukokotoa bei za gharama za Afya
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
UMMY MWALIMU: Januari 24, 2024, Wizara iliamua kusitisha utekelezaji wa Kitita Kipya cha #NHIF cha Mwaka 2023 na kuunda Kamati kwa ajili ya kuishauri Serikali ambapo ilikutana na Wadau kusikiliza hoja zao wakiwemo NHIF na #APHTA, wahusika hao walifanya vikao vingi
Baada ya hapo Kamati ikawasilisha mapendekezo ya vigezo ilivyopitisha kuhusu Kitita bila kuathiri upande wowote. Sasa leo inakuwaje APHTA watuambie hawakubaliani na vigezo vilivyopendekezwa?
#JFAfya #PublicHealth #Governance #SocialJustice #Accountability #JamiiForums
.@TeknokonaGroup tupo karibu sana na sekta ya afya… Tukitoa huduma za ubunifu na utengenezaji wa content mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wadau. #NIMR #TMARC #APHTA #COMICRelief

Proud of our children and proud to celebrate 100 years of Catholic Education #CatholicSchoolsGoodForScotand #CHAPS #APHTA

#APHTA Conference. New Confirmation programme is being presented to HTs.

#Aphta şirketinde #LG Monitörler tercih ediliyor. #CurvedUltraWide @lgturkiye #KaraYazı @karayazidizisi @KanalD @DarkStoryPro @Ekranda_DTV

Sharing for @ArchdiocGlasgow #aphta ...for anyone interested in Primary teaching?
Tues, 13th Sep @stpatrickspri

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers












