Top Tweets for #BAKWATA
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (#BAKWATA), Alhaj Nuhu Mruma, ametoa kauli hiyo Machi 21, 2026 katika Baraza la Eid el-Fitr.
Zaidi bofya https://t.co/BORvcriaeL
#JamiiForums #Uwajibikaji #EidMubarak #Democracy
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (#BAKWATA), Alhaj Nuhu Mruma, ametoa kauli hiyo Machi 21, 2026 katika Baraza la Eid el-Fitr.
Zaidi bofya https://t.co/BORvcriaeL
#JamiiForums #Uwajibikaji #EidMubarak #Democracy
@MariaSTsehai Uyo wa tarime nikama chambo tu apo waliobakia ni team #Bakwata uduni pekee!
Anyway
@SuluhuSamia kitam atashudia mazishi yako!
Shimo ulilomchimbia Ndio MUNGU anakutumbukizia wewe HUKO🚮
Father kitima na watanganyika wote tutasherekea siyo ya wew kutumbukia humo🤣
😁😁😁 Nimecheka kwa sababu kama ni Utani
Kama ni Uhalisia ni kwamba "Taasisi ya CATHOLIC ni kubwa sana hapa Duniani unachosema kinaweza kuwa kweli lakini pia inawezekana isiwe kweli
#Bakwata - Ni Taasisi ya TZ Tu na haina cha Kujitisheleza kwa namna yoyote ile kwa sababu wenyewe
Inasemekana kanisa KATOLI likitoa mali zake kwenye mzunguko wa fedha dunia inafirisika
Lakini BAKWATA ukitolewa ubwabwa wanakufa wote 😂😂🙌
A lot of Komanyokos to #BAKWATA
VIDEO:
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.
Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.
Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.
BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.
Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
Tangu lini Amani ni muhimu kuliko haki? Haki ndio msingi wa Amani.
#BAKWATA ni wapumbavu shenzy takataka 🗑 🚮
VIDEO:
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini wamesisitiza kuwa haki ni mchakato unaohitaji mazingira ya amani, hivyo vitendo vya uhalifu na vurugu vilivyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 vimeua kabisa misingi ya haki na utu nchini.
Tamko hilo lililosomwa na Sheikh Issa Othman Issa, Mjumbe wa Baraza la Ulamaa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Maamur kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, limesema kuwa vurugu hizo zimesababisha vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu na uharibifu mkubwa wa mali- ukweli unaowaumiza na kuwaathiri Watanzania wote.
Kwa mujibu wa tamko hilo, viongozi wa Kiislamu wamesema walifanya kazi kubwa kabla ya uchaguzi kuhimiza utunzaji wa amani, kwa sababu walielewa kwamba kudai haki ni halali, lakini ni lazima kudaiwa kwa misingi isiyohatarisha utulivu wa taifa.
Viongozi hao wamesema kuwa machafuko yaliyotokea hayapaswi kurudiwa kamwe, na ni jukumu la serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini watu waliowachochea vijana kujiingiza katika uhalifu huo uliosababisha maafa.
@rollymsouth Wasenge sana #BAKWATA na Taasisi nyengne zote za Kiislamu katika hii Nchi. Wanatuzalilisha Waislam Pakubwa sana.
#BAKWATA NI RASMI inajihudisha na siasa?
Hivi kwanini dini ziingine kwenye siasa Moja kwa moja?
Naona hatari mbele ya mgawanyiko katika taifa hili,ndugu wananchi tusikubali TANZANIA igawanyike kidini Wala kikabila tusikubali kabisa
Tusikubali katu ninawasihi kwa moyo wadhati

AJABU KWA MUFTY ABU BAKAR BIN ZUBAR NA MASHEIKH WA #BAKWATA KUKAA KIMYA JUUYA SAKATA LA KULOGWA KWA UCHAWI KWA SHEIKH #NJUKI💦📚
>>Kulikoni kimya mpaka leo⁉️
🫴yaani hata mufty kutoa neno la kukemea #ushirikina uliofanywa PIA KIMYAAA⁉️
🔹️AU USHIRIKINA NDIO MAKARAMA YENU YA KISHARIFU⁉️
🔹️AU KWAKUA WALIOFANYA NI MASUFY WENZENU⁉️
#BAKWATA MBONA MKO KIMYAA MPAKA LEO..AU KILICHOFANYIKA NI SAHIH
YAANI HATA NENO LA FARAJA KWA WAFIWA BAKWATA WAMESHINDWA KUTOA WALA KUKEMEA USHIRIKINA ULIOFANYWA WAZI NA MOJA YA MADRASA ZAKE MAARUFU NA KONGWE MCHINI
TAMTA_wanafunzi
JAMII YA KIISLAMU NA KITANZANIA INANIFUNZA NINI KUTOKAMA NA TUKIO HILO LILOTIA AIBU NA KUCHAFUA SURA YA UISLAMU NA WAISLAMU KWA UJUMLAA
🫴WASIOKUA WAISLAMU WANAJIFUNZA NINI KAMA JAMBO LIMEKALIWA KIMYAA BILA KUKEMEWA TOKA KWA VIONGOZI WA JUU WA BAKWATWA WANAOZINGATIWA KTK JAMIII⁉️
🔹️DAAWA YA KIISLAMU IMECHAFULIWA NA INARUDISHA NYUMA HARAKATI ZA KULINGANIA UISLAMU
MNA DHIMA KUBWA SANA NYIE VIONGOZI WA KISUFY KWA ALLAH
🫴ILA UKIWAGUSA KWENYE BIDAA ZAO ZA MAULIDI NA KHITMA WANAKUJIA JUU NA KULIPUKA KWA GHADHABU
🔹️KAZI YAO KUINUSURU BIDAA NA SHIRK ..NA KUPIGA VITA TAWHWED NA SUNNA
@IsaRouhan13797 @BlackWolfBeast @HabiibYahyaa @EsirEid @Matallahkhamis @khila
@MariaSTsehai Dada Maria naomba tuwashauri viongozi wetu wa Kiroho @tanzaniaepisco1 @KKKT #BAKWATA watangaze rasmi hakuna haja ya waumini wao kwenda kupiga kura kwa uchafu huo ni kushiriki dhambi tu kumbe wanajua michezo yao michafu ndo maana wanafanya nchi kama yao
Yule dickhead Shekhe Mwaipopo na wengine wanakuja shambulia Maaskofu , wapo wapi kuwatetea hawa Mashekhe.
Somebody tag that mazafanta Mwaipopo na wengineo au #BAKWATA mpo wapi kuwatetea hawa Mashekhe wetu walio hukumiwa kunyongwa na bi kidude @SuluhuSamia akiwa bariki!!!!
#BAKWATA acheni kutumika vibaya na @ccm_tanzania. Je, hamuoni watu wanauwawa, wanadhulumiwa, wanateswa na wanadhulumiwa haki zao. Dini ya Uislamu ni dini ya Haki.
#FreeTanzania
#CCM_MustFall
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿

GEITA: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema linalaani matukio ya Utekaji wa Watu na Mauaji ambayo yameripotiwa kutokea miezi ya hivi karibuni huku likitoa wito ufanyike Uchunguzi Huru bila kuwa na upendeleo
Akitoa salamu za #BAKWATA katika Baraza la Maulid kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma amesoma ujumbe huo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyekuwa Mgeni Rasmi
Ameongeza "Tunaomba Wananchi kuwa Mabalozi wazuri wa kulinda na kutunza amani yetu na kutokubali kutumika na yeyote kwa maslahi binafsi katika kuvuruga amani yetu.”
Soma https://t.co/bPU4SxrCUH
#JFMatukio #Accountability #JamiiForums #HumanRights
@iamcleopatricia Kwanini watoto,kwanini kuwalawiti. Yaani watoto wa kiume wako hatarini sana na watoto wakike wako majaribuni mno,sijui hata tuwafiche wapi. Huku kwenye maadili ndiko wanaharibikia tena 😞.
Ipo haja y kuchukua hatua sasa Madrasa zote zisajiliwe ,zijulikane na zifuatiliwe #bakwata
Ongoing #GNRCSixthForum Pre–Forum Meeting,Tanzania
INTERFAITH PRAYERS
From @BarazaTec
#BAKWATA
#CCT
#AllforChildren

Last Seen Hashtags on Sotwe
ensesttürbanlı
Seen from Turkey
nataliajaff
airsoftspecialist
Seen from United States
bnwo #tiktok
Seen from Spain
FireMeUp
Seen from United Kingdom
gayexhibition
Seen from Brazil
ควยนิโกร
Seen from Thailand
Cydia1134
Seen from United States
KindnessThursday
Seen from Germany
GKIDSGiveaway
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


















