Top Tweets for #BabaLEVO
Mbunge wa Kigoma Mjini #BabaLevo ameshea taarifa ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuhukumu msanii wa #Wakazi ambaye anatakiwa amlipe Milioni 100.
Baba Levo ameandika π
"Leo Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu Imemuhukumu Masanii @wakazi Kunilipa 100M"
"Nadhani mnakumbuka nilipopoteza begi la simu Uturuki Wakazi alisimama kutangaza kama nimeiba simu za watu Marekani, mbaya zaidi alianza kuyataja Makampuni ninayofanyanayo kazi kuonyesha yanafanya kazi na mwizi"
"Kwangu mimi sio jambo zuri kushitakiana Mahakamani lakini tunapaswa kutoshadadia mambo ya uongo kwa lengo la kumchafua Mtu".
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

Ni kweli wajumbe wamekata jina lake ila kwa ujumbe huu wa #BabaLevo napata matumaini kuwa Kamati kuu inaweza kufanya maamuzi ya kumrudisha kugombea Ubunge Kigoma Mjini.
"MUNGU Akijaalia Baada Ya Wiki Moja Nitafuta Kila Kitu Kwenye PAGE Hii ...!
Na Nitaanza Maisha Mapya ...!!
Kama KUNA PICHA AU VIDEO Unayoipenda Basi Ichukue Mapema Maana Hauta ipata Tena"

KIGOMA: Msanii Clayton Revocatus Chipando (#BabaLevo) alitaka zoezi la kuhesabu kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini lirudiwe, hiyo ni baada ya kutoridhishwa na matokeo yaliyotangazwa na msimamizi wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Sadick Kadulo ambaye pia ni Katibu wa chama hicho, Wilaya ya Kigoma.
Kura za mwisho zilionesha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Shabani Ngβenda alishinda kwa kupata Kura 2,168 dhidi ya 2,080 za Baba Levo katika mchakato huo wa ndani ya chama uliofanyika jana Agosti 4, 2025.
Soma zaidi https://t.co/tRJad8AZhZ
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #UchaguziMkuu2025 #Demokrasia
Huenda msanii @iamlavalava tayari akawa amemalizana na recording label yake ya #WcbWasafi ? hii ni baada ya msanii #Babalevo kuandika ujumbe ambao umeashiria kuwa #LoveBite amemalizana na label yake hiyo
Kwenye IG Yake #Blevo ameandika............"βTHANK YOU ..!Safari Njema Mdogo Wangu Una Kipaji Kikubwa Sana @iamlavalava Na Watanzania Watakuwa Mashahidi Kwa Namna Ambavyo Mzee Wangu LUKUGA Alikipigania Kipaji Chako Kibadilike Kuwa PESA Kafanya Kila Namna Ikiwemo Kushirikiana Na Wewe Kwenye Nyimbo Nyingi
Mno...!! UMEKUWA SASA NI VYEMA KUJITEGEMEA ILI KUWAPA NAFASI WADOGO ZAKO WENGINE..!!β.
βοΈ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka

π¨ππππππ
Msanii na Mtangazaji #BabaLevo Amethibitisha Kuwa Nyota Kutoka WCB #Lavalava Sasa Sio Mmoja wa Familia ya Lebo Hiyo..!
βοΈπ
βTHANK YOU..!
Safari Njema Mdogo Wangu πππ
Una Kipaji Kikubwa Sana @iamlavalava
Na Watanzania Watakuwa Mashahidi Kwa Namna Ambavyoπ

B LEVO BAA.π₯π₯π₯
FACT TUPUπ
#EntertainmentWire Familia Ya Msanii #Babalevo Ana Watoto 5
.
Powered By @marketpluspromotion
.
#ChannelVUpdates
#EntertainmentWire
#HubOfEntertainmentWire

#BURUDANI Fundi Majumba @babalevotz amemjibu #Harmonize kuhusu ndoto za kubeba tuzo za Grammy kwa wasanii wa Tanzania.
#PlanetBongo #OFFAIR #Harmonize #BabaLevo
#BURUDANI Kupitia OFFAIR ya #PlanetBongo @ChinoKiddTz anasema Video yake ya Bongo Man ndio imetumia gharama nyingi kuliko video zake zote, akiwa Location ametumia Tsh Milioni 10 mpaka 20 kwa siku 5 mfululizo.
#PlanetBongo #OFFAIR #BabaLevo #Ibraah @piwamagic @februaryomar
#BURUDANI Sauti ya Fundi Majumba #BabaLevo akifunguka kinachoendelea kati yake na #Ibraah baada kurushiana maneno mitandaoni.
#PlanetBongo #OFFAIR #BabaLevo #Ibraah @piwamagic @februaryomar
#BURUDANI Story ya OFFAIR #PlanetBongo imefunguka kinachoendelea kati ya #BabaLevo na #Ibraah kwa kutupiana maneno mitandaoni.
#PlanetBongo #OFFAIR #BabaLevo #Ibraah @piwamagic @februaryomar
#Ad Msanii Wa Muziki Na Mtangazaji #BabaLevo Alamba Dili Hili Hapa Kutokea @TTCLCorporation
.
#ChannelVUpdates
#IshiNaSisiKilaWakati
"Najenga ghorofa la zaidi Bilioni 3.9, Mwezi wa 9 ndiyo mtajua limekamilika kwa kiasi gani na tumefikia wapi. Pesa ni nyingi kama mara ya 3 mpaka 7 ya nyumba ya Mwijaku" - Baba Levo
#PlanetBongo #Trending #BabaLevo #DataNaData @airtel_tanzania

#BURUDADNI Utani wa Ngumi huuππ
Muiteni #BabaLevo aje aone ujumbe wake kutoka kwa Peter Msechu @msechu
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFleva #Muziki #PeterMsechu
#BURUDANI Mtangazaji @piwamagic akifunguka kauli aliyotoa #BabaLevo juu ya sakata lake na @harmonize_tz
#PlanetBongo #OFFAIR #Harmonize #BabaLevo
#BURUDANI Kifo cha Marehemu #TakeOff kilitokea wakati wanacheza kamari (Dice game) jambo kama hilo limetokea kwenye ugomvi wa #Harmonize #BabaLevo chanzo ikisemekana walikuwa wamelewa kwenye kamari.
#TheCruise #Harmonize #BabaLevo #TakeOff
Last Seen Hashtags on Sotwe
chav #ometv
Seen from Ireland
squirt #sister
Seen from Malaysia
λ¬Έμ¬μΈλν_μ§μ§μΈ΅_μΆ©μ±λ
Seen from United States
interracial() filter:videos
sex
Seen from Indonesia
minichat filter:native_video since:2026-09-17
Seen from France
μ λ
Seen from Japan
ΨͺΨΨ±Ψ±_ΨΉΨ§Ψ¦ΩΩ
Seen from Netherlands
anxiouspanda(********************) filter:videos
brother and sister real
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers












