Top Tweets for #Benpol
Ikiwa ni wiki ya kuheshimu na kukumbuka wiki ya baba duniani Msanii wa Muziki wa kizazi kipya @iambenpol ameshare habari njema za kupata mtoto, katika ukurasa wake wa instagram,#BenPol ameshare picha za mtoto wake na kwasasa itambulike yeye ni baba mpya mjini (New Dad In Town)
✍️ @mkogoty

Kutoka kwa #BenPol akiwa na #Tmaro wamekuja na ENJOY REMIX (Visualizer). Amapiano fulani hivi iko classic sana. Jamaa anauwezo wa hali ya juu sana kumix kingereza na Kiswahili kumeleta mzuka zaidi.
Enjoy good music #BongoFlave
YouTube: https://t.co/jPwyvgXoA0

Way back Tuesday! "TBT"
#Richmavoko ~ Silali 🎵🎶
#Diamondplatinumz ~Ntampata wapi 🎵🎶
#Belle9 ~Masogange 🎶🎵
#Benpol ~Pete🎵🎶
#Alikiba~ Hadithi 🎶🎵
😏⏯️
Msanii wa Muziki wa Hip Hop, John Simon Mseke a.k.a #JohMakini aliimba Mashairi hayo kupitia Wimbo wa “Simwachii Mungu” uliotoka mwaka 2018 akimshirikisha Nyota wa Muziki wa BongoFleva, #BenPol
Mjadala zaidi https://t.co/g4tAmwHrQR
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

#BURUDANI Unaambiwa The Best RnB @IamBenPol alitupia mtoko wenye thamani ya Tsh Milioni 9 siku ya kilele cha #EATVKinara2024 iliyofanyika #HyattRegency.
@conniebeily anafunguka zaidi kuhusu vazi hilo alilovaa #BenPol kupitia #OFFAIR ya #PlanetBongo
#PlanetBongo #EATVKinara2024 #BenPol
#BenPol ni "Confirmed" kuwa atakuwepo na atafanya bonge moja la Performance hapo kesho. Asante kwa;
@oryxenergiestanzania @eastafricaradio @iambenpol @dayoo_tz @fasthubtz @dstvtanzania @eastafricaradio @utt.amis #EATVKinara2024 #HainaKuchoka #NguvuZaidi #OryxEnergies #FastHub #dstvtanzania #Dadaz #Mamamia #Tanzania
#BURUDANI Ni miaka 7 imepita tangu @iambenpol kutoa Hit yake ya 'Moyo Mashine' leo anatusanua kuwa ngoma hiyo ilitakiwa afanye na @DiamondPlatnumz
Anafunguka sababu iliyofanya #DiamondPlatnumz kukosekana kwenye ngoma hiyo.
#PlanetBongo #BenPol #DiamondPlatnumz #Mapoz #Trending #Instagram
#BURUDANI Mwanamuziki @iambenpol ameiambia #PlanetBongo kuwa watu wanatakiwa washukuru Mungu kwa yeye kuwepo Tanzania kufanya muziki kwa sababu amejaliwa uwezo na kipaji cha kuimba.
#PlanetBongo #OFFAIR #BenPol
#BURUDANI Ni msanii gani wa RnB anaweza kum-challenge @iambenpol kwa kauli yake hii?
#PlanetBongo #OFFAIR #BenPol
#BURUDANI "Muziki ni Asset hauna tofauti na mtu aliyejenga nyumba, ni kitu ambacho kitakuwepo vizazi na vizazi" - @iambenpol
#PlanetBongo #OFFAIR #BenPol
#BURUDANI The Best RnB Singer @IamBenPol anasema muziki wa sasa haukai muda mrefu hata nyimbo za zamani zina nguvu kiliko za sasa.
#PlanetBongo #OFFAIR #BenPol
Akizungumza kwa niaba ya wasanii @IamBenPol akitoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa kifo cha aliyekuwa Director wa video Nisher ambaye anazikwa leo Kisongo Arusha.
#RIPNisher #DirectorNisher #FidQ #JohMakini #BenPol
#BURUDANI @IamBenPol amezungumzia Lifestyle yake kupenda kula bata na kusafiri sehemu mbalimbamli akisema kama una hustle ukipata kitu unatakiwa ujipongeze kidogo.
#Muziki #BongoFleva #BenPol @Shneida_Infos
#BURUDANI @iambenpol anasema waliomjibu #KhaligraphJones kwa njia 'Negative' watakuwa wana matatizo binafsi kwa sababu muziki wanaofanya unataka Drama kama hizo.
#PlanetBongo #Muziki #BenPol @dullah_planet @lesa_sid #RichMsafii
#BURUDANI @iambenpol humwambii kitu kuhusu ukali wa @GnakoWarawara upande wa kupiga Chorus kwa sababu ni mwepesi kufanya na anaitendea haki kwa asilimia 100.
Na Favorite Chorus yake ni Mfalme ya @MwanaFA ft #GnakoWarawara.
#PlanetBongo #Muziki #BenPol
@dullah_planet @lesa_sid #RichMsafii
Last Seen Hashtags on Sotwe
joi solo
Seen from United Kingdom
gay3some
Seen from Colombia
Guashangüera
Seen from United States
Teenage girls
Seen from Mexico
cb锁
Seen from United States
awektudung
Seen from Egypt
omegle
Seen from Canada
diyarbakirtraveſti
Seen from Turkey
hentaiِhot
Seen from Singapore
omegle reaction
Seen from France
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers








