Top Tweets for #BoiplusUpdates
Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wakiwa nchini watacheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Simba SC, Azam FC na Namungo FC.
#BoiplusUpdates

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Khalid Abdallah ameteuliwa na CAF kuwa Kamishna wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Ahly SC (Misri) vs Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini) utakaochezwa Februari 25, 2023 uwanja wa Al Salam, Cairo.
#BoiplusUpdates

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa Karim Benzema, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la Kimataifa.
Benzema mwenye umri wa miaka 35, amehitimisha maisha yake ya soka ndani ya timu hiyo akiwa amecheza jumla ya mechi 97 na kufanikiwa kupachika mabao 37.
#BoiplusUpdates.

Imeripotiwa kuwa Karim Benzema hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Dunia Qatar kutokana na majeraha.
Wachezaji wengine wa Ufaransa watakaokosekana ni Kante, Pogba, Kimpembe, Maignan na Nkunku.
#BoiplusUpdates

Yanga SC itacheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia πΉπ³ katika mechi za mtoano Kombe la Shirikisho Afrika kufuzu hatua ya makundi. Mechi ya kwanza itacheza Novemba 2 uwanja wa Mkapa, Dar na kumaliza ugenini Novemba 9.
Africain waliitoa Kipanga FC
#BoiplusUpdates

Timu za Nigeria π³π¬ kwenye michuano ya Afrika leo:
β’ Rivers United [2-1] Wydad AC π²π¦
β’ Plateau United [2-1] ES Tunis πΉπ³
β’ Kwara United [3-1] RS Berkane π²π¦
#BoiplusUpdates
![BoiplusMedia's tweet photo. Timu za Nigeria π³π¬ kwenye michuano ya Afrika leo:
β’ Rivers United [2-1] Wydad AC π²π¦
β’ Plateau United [2-1] ES Tunis πΉπ³
β’ Kwara United [3-1] RS Berkane π²π¦
#BoiplusUpdates https://t.co/I1u4rMe4uS](https://pbs.twimg.com/media/FepwnhFXgAIPBGR.jpg)
Azam FC, kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibout, AS Arta Solar 7, mechi itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex Agosti 30, 2022.
Timu hiyo imesajili nyota wa zamani waliowika kwenye Ligi Kuu England, Alex Song na Solomon Kalou.
#BoiplusUpdates

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Ethiopia, Saint George S.C watakuwa wageni wa @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa Simba Day.
#WeAreUnstoppable
#SimbaDay2022
#BoiplusUpdates

Singida Big Stars imemtambulisha rasmi mshambuliaji Meddie Kagere akitokea @SimbaSCTanzania
#SingidaDay2022
#BoiplusUpdates
#UpdatesGuarantee
@BoiplusMedia @singidabsfc
Beki wa zamani wa @simbasctanzania Pascal Wawa ametambulishwa rasmi na timu ya @singidabsfc .
#SingidaBigStars
#BoiplusUpdates
#UpdatesGuarantee
@BoiplusMedia @singidabsfc
Kikosi cha @singidabsfc dhidi ya @zanaco_footballclub
#SingidaDay2022
#MechiYaKirafiki
#SingidaBigStars #ZanacoFC
#BoiplusUpdates
#UpdatesGuarantee
@BoiplusMedia @singidabsfc
Geita Gold FC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Miraji Athuman 'Sheva', akitokea KMC FC.
#Usajili
#BoiplusUpdates
#UpdatesGuarantee
@BoiplusMedia @geitagoldfc

Klabu ya @polisitzfc imekamilisha usajili wa winga Khamis Kanduru kwa mkataba wa miaka miwili.
#Usajili
#PolisiTanzaniaFC
#BoiplusUpdates
#UpdatesGuarantee
@BoiplusMedia

Klabu ya Polisi Tanzania imekamilisha usajili wa mchezaji wa Kimataifa wa Uganda Ambrose Awio kwa mkataba wa iaka miwili akitokea Biashara United
#BoiplusUpdates
@BoiplusMedia

Klabu ya Namungo FC imekamilisha usajili wa James Mwashinga akitokea Biashara United.
#BoiplusUpdates
@BoiplusMedia

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mchezaji Nelson Esor-Bulunwo Okwa kutoka Rivers United ya Nigeria π΄βͺοΈ
#BoiplusUpdates
@BoiplusMedia

Full Time:
Azam FC 1οΈβ£-0οΈβ£ Grand SC
β½ Price Dube 19'
#MechiYaKirafiki
#PreSeason
#AzamFC
#BoiplusUpdates
@azamfc

Kikosi cha Yanga leo kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo FC na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Wafungaji:
Makambo β½οΈ
Mayele β½οΈ (P)
#YangaSC
#PreSeason
#BoiplusUpdates
@yangasc1935 @namungofc

Ratiba ya @tplboard ya @NBCTanzania msimu wa 2022/2023. Mechi gani unaisubiri kwa hamu ?
#NBCPL2022_2023
#BoiplusUpdates
@Tanfootball @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ

Geita Gold FC imeingia mkataba wa miaka miwili na mlinzi wa kati Shown Oduro kutoka Acra Ghana.
#Usajili
#BoiplusUpdates
@geitagoldfc

Last Seen Hashtags on Sotwe
CNC
Seen from United States
ΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΈ₯ΰΈ²ΰΈΰΉΰΈ
Seen from Thailand
tecavΓΌz
Seen from Turkey
ε€Ήθ
Ώ
Seen from United States
nolimit() +filter:native_video
Seen from Canada
uranium
Seen from Canada
kontolin
Seen from Indonesia
trukait porn
Seen from Turkey
μ μλΆλ³
Seen from Korea
rgzeta
Seen from Mexico
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.5M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers










