Top Tweets for #CcmMustGo
“Magaidi” wa CHASO Mbeya wana morale sana. Wanasema peace ✌🏿
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #CcmMustGo

@UNGeneva https://t.co/0mItIloCpi
Please don't look away from what's going on in Tanzania.
#Tanzaniamassacre2025
#TanzaniaIsNotSafe
#CCMMUSTGO

These are the murderers @tanpol ordered by the jihadist dictator from Tanzania @SuluhuSamia to slaughter over 10,000 Tanganyikans. In the sham election. Nobody voted for her and nobody wants these killers in power.
Please see my video below:
#Tanzaniamassacre #CCMMUSTGO #MO29
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura, ameongoza Mkutano wa Upimaji wa Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi (PRM) uliofanyika Julai 27, 2026, katika Ukumbi wa Polisi Jamii, Jijini Dodoma.
https://t.co/U0VyEnREvC

@MO29TV Jambazi la kike hili li #SamiaMuuaji lazima aachie nchi. Hatutaki hii mavi, tumeshaikataa. #SamiaMustGo #CCMmustGo
#SamiaMuuaji 🚮Jambazi lakike. Muuaji. Murderer. #TanzaniaMassacre inamhusu na atalipa TU. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Huko CCM moto unawaka Samia akatazwa kuongea wahifia atamjibu Nchimbi.
Katika hali ya kushangaza Samia ameonekana akiondoka kimyakimya Baada ya kuhitimishwa kwa sherehe za Mashujaa Dodoma.
Leo madhulumati yameombewa laana zote, vifo, stroki, yote, kuanzia Clubhouse, TikTok, kooote. Sasa nyie mliojiweka madarakani kwa kumwaga damu za #wananchi wasio na hatia #TanzaniaMassacre, mjipange. Hukumu ni hapa hapa duniani. 😆#SamiaMustGo #CCMmustGo

@HildaNewton21 Safiiii yeye abanie hapohapo
Na sisi wananchi tunabania kwa juuu..
Agenda zetu ni 3 tu!
#JusticeForMO29
#katibayawananchi
#reelectionTanzania2026
Huku zikiongozwa na vitendo vya MAANDAMANO na MIGOMO hadi tupate ushindi ! ¡Hasta la victoria siempre. #samiamustgo #ccmmustgo

@MwanzoTvPlus sisi wananchi agenda zetu ni 3 tu!
#JusticeForMO29
#katibayawananchi
#reelectionTanzania2026
Huku zikiongozwa na vitendo vya MAANDAMANO na MIGOMO hadi tupate ushindi ! ¡Hasta la victoria siempre. #SamiaMustGo #ccmmustgo

@nchimbie kiti ulichokalia ni cha damu. Umo ndani ya serikali batili, dhalimu. Hamkuchaguliwa na #wananchi. Sasa unaongea nini porojo hapa? Unataka kutuhadaa tu. Unajifanya wewe msafi. Huna lolote. Wewe na #SamiaMuuaji lenu moja. #CCMmustGo #SamiaMustGo
#TANZANIA: HUWEZI KUWA MTETEZI WA AMANI NA KUWA ADUI WA HAKI, MAMBO HAYA YANATEGEMEANA - DKT. NCHIMBI
Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni vigumu kwa mtetezi wa amani kuwa adui wa haki, au mtetezi wa haki kuwa adui wa amani, kwani mambo haya mawili yanategemeana.
Zaidi: https://t.co/ea22vrweoD
Huyu @SuluhuSamia ni binaadamu sio tu mpumbavu, ni katili. Kwahivyo yanayomkuta anayastahili 100%. Na nyie ma-vuvuzela @MsigwaGerson @ikulumawasliano mjiandae kudondoka nae. This fckng btch is going down big time. Mtalipa tu mbwa nyie #SamiaMustGo #CCMmustGo
Iddi Amini mama tulikuonya kwamba una uwezo wowote kuongoza hii Nchi, ukachukua Bunduki na kuua Watanganyika ili utawale kwa nguvu, na una mwanao mjinga Abdul unafikiria kwamba unaweza kuburuza Watanganyika,
Sawa tuchukulie umeshindwa wewe mjanja sana, lakini sasa ujue
-- Unadanganywa na wajinga wa mjini, umelipia mabilioni eti kuna mtu ameenda nje kukaa vikao na kufanikisha kukaa na wakubwa, wanakutengenezea mpaka report nzuri na picha za vikao, sasa kwa taarifa yako vikao vingi ulivyoambiwa ni fake , mapicha ni AI, kumbe ndio maana kila kitu walikuwa wanasema ni AI upande wa pili wanakupiga kwa kutumia AI , halafu wanatuhumu watu wanatumia AI mara mtu mmoja ana account nyingi kuonyesha wanaharakati ni wengi. Kumbe haya mambo yote wanakufanyia na wanachota mahela, uwezo mdogo, mawaziri wote ulioonga uwaziri wanakusema una ubongo hauna umeme, hayo ndio maneno yao.
-- Pili hakuna namna Abdul anaweza jificha kwenye ufisadi mliofanya, amejichanganya sana na amekula pesa nyingi sana hakuna mtu anaweza ficha pesa yote hiyo ndani ya miaka 4, hata iwe nani lazima wangekuja julikana tu, sasa hao alioweka mapesa kwao wengi wana HOFU kwamba watakuja uwawa, kuna mabilionea ameweka pesa kwao, hao hawana hofu ya kuuwawa lakini wamemrekodi na kwenda kuficha nje ya nchi ushahidi kwa ajili ya usalama wao makesi yatakapo anza dhidi yenu ili wao kujitoa, lazima waonyesha hizo record. na hakuna kitu mtaweza fanya hizo record wamesha ficha mbali
Tuliwaonye amkusikia, mkajiona nyie ni vidokozi wabobezi, sababu ulikuwa unaiba wakaambiwa wajinga wale kwa urefu wa Kamba, ukawaambia kila ofisi mbona ina chakula cha kutosha, ulilenga mchafuke wote, bahati mbaya toto lako na wewe mwenyewe uwezo mdogo, mmeacha alama kwenye kila wizi, kila mauaji na kila utekaji, kwenye mabalozi huko mnechafua sana, jipangeni

@nchimbie wewe ni mnafiki. Wewe na @SuluhuSamia wote ni wahaini. Magaidi. Wauwaji wa #TanzaniaMassacre na bado mnaendelea na utekaji, mauaji, na kesi za UONGO. Eti Ugaidi🙄Kati ya hao mnao watuhumu na nyie nani gaidi? Sasa, ni hivi #SamiaMustGo #CCMmustGo 🚮
VIDEO:
"Nikiambiwa kuna jambo tu kama Makamu wa Rais waambie Watanzania, nitasema pambaneni mpate katiba mpya, katiba ambayo ina makubaliano ya wadau wote, katiba yenye muafaka katika taifa, katiba ambayo kila Mtanzania popote alipo atajiskia fahari kujitambulisha mimi natoka Tanzania, katiba inayojali maisha", - Dkt. Nchimbi.
Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo Julai 24, 2026 akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania @thrdcoalition unaofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
@Jambotv_ ILI IWEJE??? Muhaini Wa head weeeee
Tushaku-blackLIST Hatupokei USHAURI WAKO
#ccmmustgo
#serikalibatiliyaSamiaSuluhu
#serikalibatiliTanzania
#SamiaSuluhuMUUAJI
#JusticeForMO29
#justiceforchadema
#sautizaummaziheshimiwe
#sautizaummazitashinda

@HildaNewton21 Natamani waTanganyika wote tungekuwa na hisia na moyo wa kizalendo na ujasiri kama wa huyu kijana.. tungeshaikomboa nchi yetu kutoka kwa maharamia wa chama cha mauaji na sokwe wao wa kike.
#ccmmustgo #churakiziwimustgo
Umenena @HecheJohn, haya ma-sisiemu lazima yaambiwe ukweli. Maigizo hatutaki. Waondoke. #CCMmustGo na Amiri Jeshi wao batili #SamiaMustGo
Never forget the Bloodshed.
#Tanzaniamassacre
#FREETUNDULISU
#CCMMUSTGO
#Samiamustgo
#StopAbductionTz

@MariaSTsehai Waache waendelee kugawana na kurisishana uongozi hawajui kama wamefika kwenye redline HAWATOKUJA KUUVUKA
#BIMSUMIMUSTGO #CCMMUSTGO #JKGENERATIONMUSTGO
@ridhiwankikwete 🙄Like father like son. 🚮 @jmkikwete kakutapika. Mshenzi mwanaharamu aliehujumu mchakato wa #katibampya wazi wazi ili nyie wauwaji mpande maV8 na kuendelea kuihujumu nchi. 🚮 #Wananchi wamewakataa. Ondokeni. #SamiaMustGo #CCMmustGo
#HABARI Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Katiba Mpya inayohitajika nchini inapaswa kulenga kutatua changamoto za wananchi, badala ya kuwa chombo cha baadhi ya viongozi kugawana madaraka.
Akizungumza Julai 10 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Polisi Ussoke, wilayani Urambo mkoani Tabora, Ridhiwani aliwataka wananchi, hususan vijana, kupuuza wito wa maandamano unaotolewa mitandaoni, akisema baadhi ya wanaohamasisha hawakushiriki kukusanya maoni ya wananchi.
Amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inaelekeza mchakato wa Katiba Mpya kufanyika ndani ya miaka mitano ijayo kwa kuzingatia maoni ya wananchi na kufuata utaratibu, badala ya shinikizo au vurugu.
#EastAfricaTv
Miguu ya #SamiaMuuaji na sisiemu yake ni @tanpol na hawa ma RC na vikaragosi wengine wanaowezesha kimama kutenda dhuluma, ukatili, na mauaji dhidi ya #wananchi. Tuanze na hawa. Bila hawa Samia na serikali yake batili haina nguvu. #SamiaMustGo #CCMmustGO
‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️
Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja alikamatiwa Chuoni kwake.
Tangu siku hiyo mpaka leo hakuna mwanafamilia, Viongozi wa Chama wala Mawakili ambao wameruhusiwa kuwaona.
Taarifa ambazo nimezipata muda huu kutoka ndani ni Jeshi la Polisi ni kwamba Vijana hao tangu wakamatwe mpaka Leo wanapigwa na kuteswa sana wakilazimishwa kusema mbele ya Camera kwamba Mhe. @HecheJohn ndo anafadhili Maandamano na kwamba aliwapa pesa wakanunue vilipuzi, mapanga na petrol.
Kati ya hao Vijana watatu, wawili wamevunjwa miguu hawawezi hata kusimama lakini hawapo central wamefungiwa kwenye karakana ya Polisi ambayo huwa wanaitumia kutesea watu huko Mbeya.
Hii picha niliyopost ndo picha ambayo RPC wa Mkoa wa Mbeya, Benjamine Kuzaga anaitumia ku justify Uwongo wao, anasema hiki ndo kilikuwa kikao cha kupanga Maandamano.
Hawa Vijana ni wanafunzi na Jumatatu ya wiki ijayo wanapaswa kuanza mitihani yao ya UE lakin RPC wa Mkoa wa Mbeya Kuzaga amegoma kuwapa dhamana.
Vijana hao ni-;
1. NOAH MWALWANGE (Mkiti CHASO Mkoa)
2. GWAMAKA MBOKA (Katibu CHASO Mkoa
3. Ndg WASINYO M/Kiti Tawi la CUOM.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers
























