@HildaNewton21 Natamani waTanganyika wote tungekuwa na hisia na moyo wa kizalendo na ujasiri kama wa huyu kijana.. tungeshaikomboa nchi yetu kutoka kwa maharamia wa chama cha mauaji na sokwe wao wa kike.
#ccmmustgo#churakiziwimustgo
Kijiji cha Ololosokwan kimepokea barua ikidai kitoe hati miliki ya ardhi ya kijiji ili umiliki uweze kuhamishiwa kwa "rais" haramu! Barua hiyo haisemi sababu yoyote. Wiki iliyopita wanakijiji walifanya mkutano ili kuweka utaratibu wa dharura. Ni muhimu kuchukua hatua kali!
@MariaSTsehai Ufukara waliopewa na chama cha mauaji.. hawa mgambo na vijisenti vya bure vinawafanya wacheze hivi. Akili zao ni urojo tu.. washainamishwa tayari.. waendelee tu kukata viuno.. hawana ubavu wowote.
@Liberatus80 Sheβs blindly Ridiculous. What does her privileged life got to do with present religious persecutions which have also led to murders leave alone shut downnof churches? She meeds to Shut Up.
@HildaNewton21@lifeofmshaba Hicho ni kikundi cha magaidi.. hapakuwa na uchaguzi hivyo haluna serikali. Ni magaidi walioiteka ikulu kwa mtutu wa bunduki wakiongozwa na chura kiziwi muuaji na choko lake ndio maana unaliona hapo.