Top Tweets for #ChidiBenz
Muimbaji wa Kenya @nyota_ndogo amemtumia ujumbe #ChidiBenz wa kumuomba kuonana nae baada ya kufika nchini Tanzania ambapo atakaa kwa siku kadhaa.
Nyota Ndogo anasema amefika Dar na amepata taarifa Chidi Benz amesafiri hivyo akirudi anaomba aonane nae sababu yeye ndio amefanya aje Tanzania.
"Barua hii imfikie Chidi Benz natumai popote ulipo mzima wa afya"
"Toka nimeingia Dar sijakuona lakini nimeambiwa upo nje ya Dar. Nimepata habari kuwa unaingia leo, naomba uje unione, nitafurahi sana maana wewe ndio umesabisha ujio wangu Tanzania" - ameandika Nyota Ndogo
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

Living Legend 'Dully Sykes' anatuambia anavyomchukulia King Kong #ChidiBenz ambaye anadai amemlea Misifaz Camp!
#PlanetBongo
Producer @black_ninjaah amemtoa #Billnass, #ChidiBenz na #FidQ kwenye kundi la wasanii wa HipHop!
Msikilize hapa akinyoosha maelezo sababu ya kuwatoa wasanii hao kwenye HipHop.
#PlanetBongo
๐ฃ @AliKamwe amjibu kiutu uzima Big Benzino #ChidiBenz baada ya kumwambia akae mbali na muziki.
#PlanetBongo๐ฅโ @shneida_infos
#TBT @Shneida_Infos anakukumbusha Verse Bora za Wana HipHop kwenye nyimbo za Mapenzi za BongoFlava, Verse ya kwanza amempa #ChidiBenz ngoma ya Hao ya #Mwasiti.
-#ChidiBenz Hao ya @mwasitij
- Niamini ya @ProfessorJayTz na #LadyJaydee
- #MwanaFA - Yalaiti na Kama Zamani
- @mrbluebyser kwenye wangu ya @JideJaydee
- #Ngwea sitomuacha ya Steve RnB
- #Nikkimbishi 'Playboy'
- @GnakoWarawara 'Mama Yeyoo'
- Verse ya @Madeeseneda kwenye Latifah ya MB Dogg.
Verse zingine za HipHop ndani ya nyimbo za Mapenzi ongezea wewe.
#TBT
Zipizo (feat. Rashid Chidibenz) (Radio Edit) https://t.co/65nnKm0Rtq via @YouTube
Classic shit @Noninimgenge2ru
#Zipizo ft. #ChidiBenz
#BURUDANI Striker @jaivahtz amenyoosha maelezo mpango wake wa kufanya kazi na #ChidiBenz King Kong kama alivyoahidi.
#PlanetBongo #Trending #Jaivah #Kautaka
#ChidiBenz ๐ฅท
Remix ya hii nyimbo #MashAllah na @KHALIGRAPH will be an absolute banger ๐ฏ
Khali mwenyewe yuapenda hii nyimbo ajab ๐ฏ
#BURUDANI Captain wa BongoFlava @tundamantz amefunguka anayopitia #ChidiBenz baada ya kuwataja wasanii aliowasaidia lakini hawaoni wakirudisha fadhila kwake.
#PlanetBongo #DataNaData @airtel_tanzania
#EntertainmentWire Msanii Wa Muziki Nchini #ChidiBenz Awajia Juu Wote Wanaosema Yeye Ni Chizi/Dishi Limeyumba Anauliza Mwaka 2007 Wakati Anapewa Tuzo Ya Best HipHop Artist Wewe Ulikua Wapi?
Bado Tena Anauliza Wakati Anapigiwa Simu Za Deals Mpaka Simu Inaisha Chaji,ww ulikua wap
#EntertainmentWire Msanii Wa HipHop #Chidibenz Awajia Juu #Basata Kutokufungia Nyimbo Zingine Za Matusi Zinazoimbwa Na Wasanii Wengine Wa Muziki Nchini.
Chidibenz Ameyasema Hayo Alipotoka Basata Kusikiliza Sakata Lao La Video Ya Hassani Remix Alioshirikishwa Na MejaKunta.
#EntertainmentWire Msanii Wa Muziki #ChidiBenz Ametupa Dongo Kwa Msanii @harmonize_tz Kuhusu Wimbo Wake Wa #YangaBingwa.
ChidiBenz Anasema Harmonize Hakutakiwa Kutaja Majina Ya Wachezaji Kwenye Wimbo Huo Bali Alitakiwa Aimbe Yanga Tu.
#ChannelVUpdates
#EntertainmentWire
#BURUDANI Ukiitazama video ya Mashalaah ya #ChidiBenz kuna 'Scene' inamuonyesha #MzeeYussuf anaomba radhi kabla hajashika MIC.
Kwenye line tupo na Mzee Yussuf akielezea kilichotokea mpaka kuonyesha ishara ile ya kuomba radhi kwenye Video.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #MzeeYussuf #ChidiBenz #Mashalaah @PiwaMagic @februaryomar
#BURUDANI Tegemea kusikia Collabo 1 kati ya @Jaivahtz na #ChidiBenz.
Sauti ya msanii gani itatamba zaidi kwenye Collabo yao hiyo?
#PlanetBongo #Jaivah #ChidiBenz #S2kizzy #AbbahProcess #Marioo #DullaMakabila
#BURUDANI Nampenda #ChidiBenz ni msanii mkubwa ambaye namjua tangu nipo shule, napenda sana sound yake. Naamini ana IQ kubwa sana nishakaa naye studio - @S2KizzyOfficial
#PlanetBongo #S2Kizzy #ChidiBenz
#Reels UTACHEKA๐ Story za @Shneida_Infos na Big Benz akielezea ukubwa wa jina lake na utofauti wa #ChidiBenz na Rashid Abdallah Makwilo.
#ChidiBenz
#BURUDANI Big Benz #ChidiBenz akisumulia jinsi Biggest Boss @RickRoss alivyopagawa na nyimbo zake baada ya kusikilizishwa alipofika Tanzania.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #ChidiBenz #RickRoss #CassperNyovest #MrBlue
#BURUDANI Rapa #ChidiBenz ameunga mkono kauli ya rapa wa South Africa @casspernyovest kusema hamjui msanii yeyote wa HipHop Tanzania.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #ChidiBenz #CassperNyovest #MrBlue
#BURUDANI Kwa uchungu sikia maneno ya #ChidiBenz akifunguka tukio la kushushwa stejini na kuzimiwa mziki wakati ana-performe kwenye show wiki iliyopita.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #ChidiBenz #MrBlue
#BURUDANI Maneno ya Chidi Benz akielezea anavyomchukulia mwanamuziki @GnakoWarawara
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #ChidiBenz #MrBlue
Last Seen Hashtags on Sotwe
้ไบค
sweetiefox #anal
Seen from Switzerland
turbanliifลa
Seen from Netherlands
เนเธเธงเธเนเธญเธ
Seen from Thailand
rubiex0x
Seen from Thailand
momsonincest
Seen from United Kingdom
่ไพฟๅจ
Seen from United States
bbc #reaction
Seen from Turkey
watercolour
Seen from United States
UnidosxLaMusica
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers




