Top Tweets for #AbbahProcess
Imehalalishwa tayari kwa #JumaJux na #Priscy kuwa Mke na Mume ambapo ndoa yao hiyo ime-make headlines usiku wa jana.
Ndoa hiyo iliyokuwa na watu waalikwa tu na tumeshudia mastaa kibao kama #DiamondPlatnumz #Zuchu #OmmyDimpoz #AbbahProcess #S2Kizzy #Billnass #Marioo wamejitokeza kusapoti ndoa ya Jux.
OK ya #Jux na #Priscy imeshapita yako wewe na huyo mwenza wako mmepanga kuoana lini?
#Trending #WeddingDay #JumaJux #Priscy

#BURUDANI Tegemea kusikia Collabo 1 kati ya @Jaivahtz na #ChidiBenz.
Sauti ya msanii gani itatamba zaidi kwenye Collabo yao hiyo?
#PlanetBongo #Jaivah #ChidiBenz #S2kizzy #AbbahProcess #Marioo #DullaMakabila
#BURUDANI Mr Buruda @Jaivahtz akimpa maua yake msanii wa Singeli Dulla Makabila 👇
"Dulla ni kati ya watu wenye akili sana,amejaliwa kichwa cha Idea noma, akisema kitu msikilizeni" - @Jaivahtz
#PlanetBongo #Jaivah #S2kizzy #AbbahProcess #Marioo #DullaMakabila @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI Msanii Jaivah ameweka wazi undugu wake na Producer #AbbahProcess ndani ya #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio.
#PlanetBongo @dullah_planet @lesa_sid #RichMsafii
King Kiba @OfficialAliKiba ameingia studio na Mbuzi @YoungLunya pamoja na mshindi wa tuzo ya producer bora wa bongo fleva @AbbahProcess
Vuta picha sasa! hili kolabo likitoka nani atakua ameumiza zaidi?
#Alikiba #YoungLunya #AbbahProcess #BongoFleva #TogetherTunawakilisha

Achana na mambo za nini nini uko kwa mainfluencer njoo usikilize album yenyewe sasa kitu iko full package yani 🎶💿. Hii kitu ni 🔥🔥🔥kitu inakushawish kiuipush hata kama hujalipwa 🙌 @darassa_cmg mpe 🤛zake #abbahprocess

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers




