Top Tweets for #FinScopeTz2017
FinScope Tanzania 2017 shows that 17% of Tanzanians who save money, save using Community Microfinance Groups (CMGs). This is a 6% increase from 11% in 2013. Why are more people drawn towards CMGs for savings rather than other financial institutions?
#CMGs #FinscopeTz2017

Is a Community Microfinance Group (CMG) strengthened more by having a group bank account and encouraging its members to do the same?
#CMGs #FinScopeTz2017

FinScope Tanzania 2017 shows that 18% of Tanzanians who borrow money, borrow from Community Microfinance Groups (CMGs). This is a 5% increase from 13% in 2013. Why are more people drawn towards CMGs for loans rather than other financial institutions?
#CMGs #FinscopeTz2017

20% of women in Tanzania are in Community Microfinance Groups (CMGs) compared to only 12% of men. What are some of the factors attracting more women to CMGs?
#CMGs #FinScopeTz2017

"According to #FinScopeTz2017 female youth have a higher dependency level, at 41%, compared to male youth at 15%, and they only take part in basic, but not key decisions in the household like assets and investment.” Julia Seifert, Research Advisor, FSDT, #RuralYouthStudy launch

To access the #FinScopeTz2017 report, visit: https://t.co/oZgAXUd4pp
#InclusiveFinance
#PeopleImpact
#EnterpriseGrowth
#IncomeGrowth

#FinScopeTz2017 inaonyesha kuwa nusu ya wananchi wa Singida wanaweka akiba zao kwa njia ya fedha taslimu majumbani kwao.
Kuna hatari gani kuhifadhi fedha nyumbani na nini kifanyike kumuwezesha mwanachi kurasimisha akiba zao kwenye mifumo rasmi ya kifedha?
#FinScopeTz2017 inaonesha mikopo ndio njia kubwa inayotumika nchini kurahisisha mzunguko wa fedha. Wakazi 8 kati ya 10 wa Singida huchukua mikopo kwa sababu hii.
Sababu zipi zinakufanya uchukue mkopo? @Tigo_TZ @VodacomTanzania @airtel_tanzania @CRDBBankPlc @NMBTanzania
#FinScopeTz2017 inaonesha 56% ya Watanzania wote wanabana matumizi kama njia ya kumudu maisha, Asilimia 50% ya wakazi wa Singida nao huu fanya hivi.
Je, wewe unatumia mbinu gani kumudu maisha? Una akiba? Umewekeza?@BankOfTanzania @CRDBBankPlc @NMBTanzania @TpbBankPlc
#FinScopeTz2017 umiliki wa ardhi ni kipimo kikubwa cha uchumi wa mwananchi. Karibu nusu ya wakazi wa Singida wanamiliki ardhi wanayoishi, ila asilimia 12% tu ndio wanauthibitisho wa umiliki.
Je,unadhani njia gani itumike kurahisisha udhibitisho wa ardhi? @NIDA_Tanzania
#FinScopeTz2017 inaonyesha wastani wa kipato cha mwezi mkoani Singida ni Tsh. 42,500 huku waastani wa kitaifa ukiwa Tsh. 50,000.
Je nini kifanyike kukuza kipato cha Mtanzania? @BankOfTanzania
#FinScopeTz2017 inaonesha Mkoa wa Singida una 86% ya watu wanaoishi vijijini, huku watu wa tano kati ya kumi wanategemea shughuli za kilimo.
#Je, mifumo yetu ya huduma za fedha inawafikia Watanzania walio wengi vijijini? @VodacomAccelTZ @Tigo_TZ @TTCLCorporation @NMBTanzania
“Je, vijana wanawekeza? Takwimu za #FinscopeTz2017 zinaonesha 23% ya vijana wenye umri kati ya miaka 16 hadi 24 wanawekeza kwenye mali.” Kama upo katika kundi hili, je, wewe unawekeza wapi?
Sosthenes Kewe, Executive Director @fsdtanzania
#NawezaNafanyaNashinda #IBUA

“Je, vijana wanawekeza? Takwimu za #FinscopeTz2017 zinaonesha 23% ya vijana wenye umri kati ya miaka 16 hadi 24 wanawekeza kwenye mali.” Kama upo katika kundi hili, je, wewe unawekeza wapi?
Sosthenes Kewe, Executive Director @fsdtanzania
#NawezaNafanyaNashinda #IBUA

“Je, vijana wanawekeza? Takwimu za #FinscopeTz2017 zinaonesha 23% ya vijana wenye umri kati ya miaka 16 hadi 24 wanawekeza kwenye mali.” Kama upo katika kundi hili, je, wewe unawekeza wapi?
Sosthenes Kewe, Executive Director @fsdtanzania
#NawezaNafanyaNashinda #IBUA

“Je, vijana wanawekeza? Takwimu za #FinscopeTz2017 zinaonesha 23% ya vijana wenye umri kati ya miaka 16 hadi 24 wanawekeza kwenye mali.” Kama upo katika kundi hili, je, wewe unawekeza wapi?"
Sosthenes Kewe, Executive Director @fsdtanzania
#NawezaNafanyaNashinda #IBUA

#FinScopeTz2017 inaonesha kuwa wakazi wengi wa mkoa wa Rukwa wanaishi vijijini (73%), na 59% wanajiusisha na shughuli za kilimo na uvuvi. Tunawafikiaje watu hawa kuhakikisha wanatumia huduma rasmi za kifedha kuwawezesha katika shughuli zao? @FINCATz @APF_Tanzania
#FinScopeTz2017 inaonesha wakazi wengi mkoani Rukwa wanaweza hesabu za kujumlisha (77%) na kutoa (57%) lakini wanapata tabu kuzidisha (29%) na kugawanya (35%). Je, kwenye kuelezea juu ya riba kwenye mikopo, hali hii inaweza kuleta changamoto gani? @CRDBBankPlc @NMBTanzania
#FinScopeTz2017 inaonesha 83% ya wakazi mkoani Rukwa wanamiliki kitambulisho cha mpiga kura, na 9% tu wakiwa na namba ya kitambulisho cha Taifa. Je, hii inaweza kuleta changamoto gani kwenye utumiaji wa huduma rasmi za kifedha? @TTCLCorporation @Tigo_TZ @Haloteltz @CRDBBankPlc
#FinScopeTz2017 inaonesha 38% ya wananchi wa mkoa wa Rukwa wenye miaka 55 na kushuka wanajipanga na kustaafu kwa kuwekeza kwenye kilimo na mifugo. Je, tunahakikisha vipi mazao na mifugo yao yatakua salama mpaka wakistaafu? @nic_tanzania @TIRA_TZ @tzagriculture @tadbtz
Last Seen Hashtags on Sotwe
heyorion
Seen from United States
UnaStoriaDiNatale
Seen from United States
naruto #hentai video
Seen from Indonesia
edreformnorth
Seen from United States
IDontTrustPeopleWho
Seen from United States
单男
Seen from Singapore
موجب_الكويت
Seen from Kuwait
olderyounger
Seen from Canada
anxiouspanda(()) filter:videos
Seen from United States
minichat((((*)))) t.co video
Seen from Colombia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




