Top Tweets for #HomayaIni
"Protect your health with the hepatitis B vaccine, now available at our hospital! For more details, call us at +255 692 889 893.
#agakhan #HepatitisB #Chanjo #homayaini #AfyaKwanza #HepatitisB #Vaccination #HealthFirst"

HOMA YA INI inazuilika, Take time to go check your Help B and Hep C status then take your vaccines.
#Epuka #Zuia #HomayaINI

As we are heading toward
World Hepatitis Day, July 28th: Here are the Insights on symptoms, treatment, and prevention from a Gastroenterologist on Hepatitis B. 'Hepatitis Can't Wait'.
#homayaini #hepatitisb #gastroenterologists
#gastroenterology #hepatitis #HepatitisCantWait
Eating a healthy diet is important for liver health. Some foods are good for the liver as they contain vitamins, minerals, and antioxidants that help protect the liver from damage and support its function
#afyayaIni #HomayaIni
#liverhealth #hepatitis

Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu leo Novemba 23, 2023 amewasili katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es salaam kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa Mpango wa Taifa wa kudhibiti Ukimwi, Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini.
Waziri Ummy ameambatana na timu kutoka Wizara ya Afya pamoja na Kamati ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Stanslaus Nyongo.
Wadau mbalimbali wa mapambano ya Ukimwi, Magonjwa ya Ngono na Homa ya ini pia wameshiriki uzinduzi huo.

Homa ya ini (Hep B) ipo, chukua hatua kapime na upate chanjo. Na hakikisha unamaliza dose zote ili upate Kinga kamili.
Zaidi chukua hatua zote za kujikinga zinazotolewa na wataalam wa Afya @cdchep @wizara_afyatz @ummymwalimu


"Homa ya Ini ya Aina B, inaweza kusafiri kirahisi kutoka kwa mama kwenda mtoto wakati wa kujifungua"
#PimaMapemaKujuaAfyaYako #HomaYaIni #MtuNiAfya #AfyaTamu

Afya ya homa ya ini huletwa na chanjo ya homa ya ini.
#hepatitisb #homayaini #vaccinationdone✔️ #hepatitis

#HepCantWait @TzHepAlliance @Hep_Alliance
Bila shaka Serikali itaweka uhakika wa vyanzo vya fedha kwa ajili ya program za kupambana na maambukizi ya #Homayaini

Fahamu kwamba mtu anaweza kuwa na virusi vya #Homayaini kwa muda mrefu bila ya kuonesha dalili yoyote huku anaweza kuwaambukiza wenzake bila kujua na #Ini lake likiendelea kuathirika.
#Homayaini #heapatitis #hepatitisB #heapatitisC #daktarimtangazaji #yho

@JudithKilewo_ @Msikivu_ Bola upate HIV sio homa ya #INI na wengi tunakimbilia kupima #HIV Tunasahau kuwa Kuna magonjwa hatar zaifi Kama #HOMAYAINI
Usikose kusikiliza kipindi cha #homayaini hapa hapa #radiouvinzafm leo hii saa 11:00 jioni kilichoandaliwa na groly paschal. Tuandikie comments zako tutazisoma hewani. Kigoma mjini tusikilize 96.5 MHz #wizarayaafya #unescodar #boreshahabari

Si magonjwa ya zinaa pekee ambayo husambazwa kwa NGONO isiyo salama, HATA VIRUSI vinavyosababisha HOMA YA INI (HEPATITIS B Virus) husambazwa kwa njia hiyo
#HomaYaIni

Hepatitis B Virus inasambzwa kwa Damu yenye maambukizi, semen na maji maji mengine ya mwili kutoka kwa mtu mwenye maambukizi.
Pia virusi hivi vinaweza kusambazwa kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua au NGONO isiyo salama na kuongezewa Damu au....
#HomaYaIni

Kwa mujibu wa Mpango Mkakati wa Kitaifa wa kudhibiti Homa ya Ini wa Mwaka 2018/2019-2022/2023, ni 10% tu ya physicians wanajua matibabu sahihi ya Homa ya Ini (Chronic Viral Hepatitis)
#HomaYaIni

Kuelekea #sikuyahomayainiduniani leo tukijaaliwa tutakua hewani kupitia Assalaamu FM Redio (92.1) tukizungumzia kuhusu #HOMAYAINI (#Hepatitis ) kuanzia saa 11:40 hadi 12:30 za jioni. #Usikose. #YHO

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers






















