Top Tweets for #LUGHA
Heri ya Siku ya Kiswahili duniani! Je ufahamu wako wa methali ukoje? #swahili #SikuYaKiswahili #methali #lugha
@arnaud_suquet @FranceinKenya @RFI_Sw
Elimu ni haki ya kila mtoto! Kwa kutumia Kiswahili, tunarahisisha uelewa bora na uharaka wa upatikanaji wa ujuzi ili kufikia maendeleo ya kudumu. Kuna ujuzi mwingi ambao unahitaji Kiswahili tu katika kujifunza na kuingia kwenye soko la kazi au matumizi yake. #ElimuKwaWote #Lugha

Siku ya #Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ilianzishwa na #UNESCO kwa lengo la kusherehekea Umuhimu wa Kiingereza kama mojawapo ya Lugha za Kimataifa zinazotumiwa Duniani kote
Lengo la Siku hii ni kukuza uelewa wa umuhimu wa Lugha za kimataifa na kuzisherehekea kama chombo cha #Mawasiliano na kujenga Tamaduni.
Neno gani la Kiingereza ni Mtihani kwako kulitamka vizuri?
Mjadala zaidi https://t.co/eFS7usF9kO
#JamiiForums #WorldEnglishLanguageDay

Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa Februari 21 kila Mwaka ili kukuza utofauti wa #Lugha na Tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa Lugha na Tamaduni Duniani kote
Siku hii inakumbuka Maandamano ya Watumiaji wa Lugha ya Kibengali Mwaka 1952 Nchini #Bangladesh, ambapo Wanafunzi na wanaharakati walitaka kutambuliwa kwa Lugha yao mama kama moja ya Lugha rasmi (Kibengali)
Je, unaijua Lugha Mama yako?
Soma https://t.co/ISOkeP2cBH
#JamiiForums #MotherLanguageDay2024

TikTok inapanga kuzindua app ya lugha mbali mbali ya “vituo vya uchaguzi” vya Umoja wa Ulaya, EU, hapo mwezi ujao katika nchi zote 27 za Umoja huo ili kwamba “watu waweze kutofautisha ukweli kutokana na uongo”...
#tiktok #app #lugha #vituovyauchaguzi #eu https://t.co/Xl7U0HKt7T
Jambo la pekee kabisa ni kutumia lugha ya kibiashara kwa Wateja wako, ni sumaku kwenye biashara yako ili kuwavuta wateja wako.
Hayo yamesemwa na mtayarishaji wa kipindi cha @twenzetusokoni ya @mjinifm #lugha #businesslanguage
Produced By @mpishi_content
Thank you @MurangaUni for giving me an opportunity to present a poem (ushairi) during the Murang'a University of Technology 7th Graduation and @ktnhome_ for the live coverage.
#kiswahili #lugha
Pamoja na utaalamu wako wa kuzungumza Lugha fulani kwa Ufasaha, inawezekana kuna Neno au Maneno yanakutatiza kutamka mpaka sasa
Tuambie Mdau, huwa unakwama kutamka Neno gani mara kwa mara?
#JamiiForums #Lugha #JFLugha

Let's continue embracing the Kiswahili language.
#KiswahiliLanguageDay #WorldKiswahiliDay #kiswahiliday #lugha #Threads


Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


























