Top Tweets for #MATATIZO
NP #Matatizo by @harmonize_tz on your home of local, urban and international music https://t.co/dvDryCtgvc
#Brekko

Woke up to this old school classic banger #matatizo from the Queen of bongo flavor @JideJaydee .. Kumbukumbu ni nyingi sana kwenye hii ngoma ๐ฅ
Tambua kuwa Allah yupo na yeye ndie wa kuombwa usaidizi kwani yeye ndio Muamuzi wa mwisho, mfalme wa mbingu na ardhi.
#allah #faraja #amani #tegemeo #moyo #msaada #matatizo #shida #upweke #mitihani #imaanmedia #ukumbusho #islamicftz

Ukipewa kiasi gani cha fedha utakuwa umetatua matatizo yako yote?
Dondosha comment yako itasomwa live kupitia #MamaMia muda huu mpaka 6:00 mchana.
#MamaMia #OngezaBando #Fedha #Maisha #Matatizo #EastAfricaRadio

Je, unajua jinsi familia mbalimbali nchini Kenya zimekuwa zikikabiliwa na mzigo mkubwa wa kulipia gharama za juu za matibabu.
#familia #kenya #gharama #matibabu #raia #matatizo #msongowamawazo #voa #voaswahili #dunianileo
Asubuhi wakati simu yangu ilivoanza kuniletea mang'amung'amu, I felt so defeated nikaweka nyimbo ya Matatizo by Harmonize because I'm the type to put sad songs when I'm sad.
Ilipofika kwenye, "mbona nishasali Sana ila mambo bado tafarani" simu ikazima kabisa.๐ญ๐ญ๐๐ #Matatizo ๐ฅฑ
@EduInCrisis inachukulia #matatizo ya walimu kwa uzito, kwamba yasipokuwa na vifaa vya kutosha, kutuzwa na kuthaminiwa ipasavyo, #Educationisincrisis ndio maana, mafunzo bora ya walimu na kuajiri ni moja ya maeneo tunayozingatia tunapofanya kazi ya #TransformEducation in #Africa.

Baadhi ya nyakati msiba hushuka kwa watu wote.
Ishi vizuri na watu hata kama unahisi unajitosheleza kimali na kihali..
#AfricaTV2 #HekimaZaKiafrika #Tabia #Matatizo

Changia mada hii kisha Comment yako itaruka Live kwenye runinga East Africa TV
#Funguka Saa 9:00 - 9:30 Alasiri
#Pesa #Matatizo #EastAfricaTV

Nasikitika kuwa #Tanzania tumebaki na viongozi wengi ambao wanatengeneza #matatizo kwenye jamii kisha wanayatatua wao wenyewe ili waonekane wamefanya #kazi
@BSMwandenuka @phillykiu
@Apollo_Boniface @YohanaKaunya @Emanuela_Andrew

#Matatizo yanavokutazama ukipata Mshaharaaa....

@CloudsMediaLive ๐ค....
Sijaelewa maana ya nyingi kuandika #UGORO huu!๐ฎ๐คฆโโ๏ธ
#Matatizo lukuki kwenye jamaa inchin wala ham reports!!
Huu usenge utasaidia nin watanzania maish magumu??
Insane clouds and all staff there!๐ฎ๐ฎ๐ค
Dansira Karikumutima aliyekimbilia Uganda akitafuta hifadhi baada ya kuwepo machafuko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aeleza matatizo yanayowakabili ikiwa ukosefu wa chakula na kutokuwepo usalama.
#mkimbizi #matatizo #Uganda #vita #ukosefuwachakula #usalama #voa #voaswahilii
Last Seen Hashtags on Sotwe
sex maroc
Seen from United States
HacerNadaEsUnLaburo
Seen from United States
pakistani leak video
Seen from Pakistan
92i vidรฉo
Seen from France
Cumming
Seen from Italy
็ด็ท
Seen from Japan
ometv this
Seen from Singapore
gooners
Seen from Brazil
caught jerking
Seen from United Kingdom
wmaf
Seen from Canada
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers



















