Top Tweets for #Makomando
Haya watoto wa 2000 na huu wimbo wa #Makomando @fredwayneofficial @muki_mingo hamuujui?
#5SELEKT @blessing_teba
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
#WeekendVibe Wasanii #Makomando Wa #THT Walivyoamsha Vibe Kwa Mashabiki Kwenye Grand Finale Ya Mashindano Ya Dancing #ChezaMania2024 Sinza Velvet Club.
#ChannelVUpdates
#WeekendVibe
#BURUDANI Member wa Makomando Muki Mingo amefunguka mapenzi yalivyotaka kumfanya kumaliza uhai wake baada ya kupigwa na tukio zito.
#FridayNigthLive #FNL #Makomando
Kuna watu wengine wanampenda Fred na wengine wanampenda Muki ndio maana ngoma zetu zinakaa kwenye Youtube ya Makomando kutokuchanganya watu" - Wasanii wa kundi la Makomando #MukiMingo na #FredWayne
#PlanetBongo #BongoFleva #Makomando

"Hii ngoma yetu #ChinoKidd amelipia kila kitu kwenye video maana yeye ni mdogo wetu tumemu inspire kufanya anachofanya sasa hivi" - Makomando #MukiMingo na #FredWayne
#PlanetBongo #BongoFleva #Makomando

Ndani ya #PlanetBongo wasanii wa kundi la Makomando #MukiMingo na #FredWayneOfficial wamesema beat ya ngoma yao mpya ya 'Mtego huo' wamepewa na DJ Seven kutoka Taifa la Congo DR.
#PlanetBongo #BongoFleva #Makomando

#BURUDANI Kauli ya wasanii wa kundi la #Makomando Muki Mingo na Fred Wayne kuhusu 'Fundi Mitambo' walivyokuja kutambulisha ngoma yao mpya sayarini Planet Bongo.
#PlanetBongo #Makomando
Kwenye #eNewz leo kutana na hii ya msanii Fred Wayne amesema kuwa mtu yoyoteanapoisifia @Makomandoo_tz ni sawa amemsifia yeye na Muki na mapya kuhusu @BasataTanzania
Usikose kuitazama show leo kuanzia saa 12:00 Jioni #EastAfricaTV
#Makomando #BongoFleva
Wasanii wa kundi la Makomando Muki Mingo na Fred Wayne Official wamenyoosha maelezo kuhusu mziki wa sasa wa BongoFleva na unapolekea.
Hii ni #PlanetBongo ya @eastafricatv kila siku ya Jumamosi saa 3:00 usiku.
#PlanetBongo #EastAfricaTV #Makomando
#BURUDANI Member wa kundi la Makomando Muki Mingo na Fred Wayne Official wamenyoosha maelezo kuhusu aina ya mziki watakaoufanya.
#PlanetBongo #EastAfricaTV #Makomando
Wasanii wanaounda kundi la Makomando Muki Mingo na Fred Wayne wamezungumzia Trending ya mziki wa Amapiano kwa wasanii wa Bongo.
Hii ni Planet Bongo ya @eastafricatv kila siku ya Jumamosi saa 3:00 usiku.
#PlanetBongo #Makomando
Kitengoni #PlanetBongo leo tupo na @Makomandoo_tz wakifunguka kuhusu safari yao ya muziki, kwamba imewachukua miaka 8, pamoja na kulinganishwa na P-Square.
Usikose kuitzama show leo kuanzia saa 3:00 Usiku, #EastAfricaTV
#Makomando #BongoFleva
Hawa kweli #Makomando
#LiveKutokaLeaders Wakali wa Hizi Kazi #Makomando burudani tosha pande hizi, hakuna kukaa ni kucheza Kibega mwanzo mwisho #FreshDjCompee2016
#Ayeeeeeeeee time ya #Kwa_Niaba_ya_wanaaaaaaaaa sasa... leo ipo EXlusive Audio kutoka kwa #MAKOMANDO⦠https://t.co/rW7itzDTZH
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers








