Top Tweets for #ManDojo
Uwezo mkubwa kutoka kwa msanii @zidostar akipiga ngoma ya #Nikupe kutoka kwa @domokayatz na marehemu #Mandojo
@rich_msafii @piwamagic @februaryomar @mauki_tz
#PlanetBongo #EastAfricaRadio
"Nikupe nini mpenzi ulizike licha ya vyote nilivyokufanyia bado kwako ni kazi bure, ama nikupe moyo wangu ❤️🩹 ama nikupe vidani vya dhahabu Baby. Mtaani sipatani na masela wananichukia kipaji na harakati zangu kimaisha..."
#RestInPeaceBrother
#ManDojo 🥲
#Mandojo alikua fasta sana na Gitaa ,papo kwa hapo anacharaza yani 💔
Nb: hapa tukijadili kuhusu Nihukumu mola ya kwao Vs Sexual Healing ya Marvin Gaye
Hii intvw iko you tube “kuvifacts”
#theclassicefmnamandojonadomokaya3

Eeeh Baba ,Dojo hatutamuona tena baba 💔 ,pole sana my brother @domokayatz hakika ni huzuni sana,mliimba wote kazi yake Mola ,leo tunaupiga kwa kazi yale Mola kwa mwanetu,Unbelievable 🙏🏾
Kwa heri Dojo
Picture credit : Crown Media

Msanii #Domokaya akieleza ratiba ya kupumzisha mwili wa rafiki yake wa karibu #Mandojo Manyoni, Singida 👇
"Kwa ufupi ratiba ya kumpumzisha Mandojo kuanzia saa 8 - 9:30 mchana ni ibada ya kanisani na wasifu wa marehemu utasomwa".
"Saa 10:00 mpaka 10:30 ndiyo muda wa kuaga na safari ya kuelekea makaburini".
#RIPMandojo #PlanetBongo

Clouds Media imewakilishwa na Idara yake ya michezo kupitia vipindi vya SportsXtra na HiliGame kwenye msiba wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya #Mandojo nyumbani kwa kaka yake .

Alikuwa legend wa BONGO FLEVA #mandojo 🕊️ #RIP
@018Salama @rapcha_tz @rapidodraws @Conboicannabino @incredible_nory @Nana_nasmah

Moja kati ya nyimbo zenye mafunzo makubwa ambayo Marehemu #Mandojo na @domokayatz wamefanya ni “Nihukumu Mola” ambao una ukumbusho mkubwa sana kwa mwanadamu na maisha yake hususani kiimani,Kwenye #Theclassicefm ya mwisho nliofanya nao walipata nafasi ya kuuzungumzia wimbo huu 👇🏾
Hii ngoma tulikua tunaiskiza tukiwa ma ghat na boy wangu anaitwa Deebo! Ilikua inakuja vi fine thank you....RIP #Mandojo
Kifo cha legend #mandojo ni funzo kubwa sana kwetu, kwani kinatukumbusha kuacha kujichukulia sheria mkononi
#Mandojo na #Domokaya walikua wasanii waliofanya #Theclassic Mara nyingi zaidi kuliko msanii yoyote (mara tatu) mpaka pale rekodi hiyo ilipovunjwa na @mkandamizaji aliekuja mara nne pekee
Nimesikitika kwa kifo chake cha kudhalilishwa kuitwa mwizi hali ya kua alikua na shughuli👇🏾

TANZIA: Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Joseph Francis maarufu kama #ManDojo amefariki Dunia Jijini Dodoma Agosti 11, 2024
Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na rafiki yake wa karibu Msafiri L ambaye pia Mwanamuziki wa Bongo Fleva
Akizungumza na JamiiForums Msafiri L anasema Man-Dojo
amefariki baada ya kushambuliwa na Watu na sasa Polisi inafuatilia tukio hilo
Soma https://t.co/XcCdsKUnFl
#JamiiForums #RIPMandojo

Kesho, Ijumaa, 29.09.2023 jukwaa la #Bongoflevahonors ni #Mandojo & #Domokaya, Alliance Francaise, Upanga. Mzigo unapigwa LIVE jukwaani na #SwahiliBluesBand na mitamboni #DJBoniLuv. Host ni @TheRealJongwe. Tiketi ni 20k, zinapatikana • Alliance Francaise, Upanga.

Ukiwa na mawazo unafanya nini ili kuyapunguza?
#NowPlaying ''Nikupe Nini'' kutoka kwa wakongwe #Mandojo na @Domokayamusic
#EastAfricaTV #BongoFleva #MandojoNaDomokaya
My playlist, October basis.
1. Manzese @NavyKenzo
2. Nikupe Nini #Mandojo& #Domokaya
3. Wanoknok #Mandojo& #Domokaya f/t @JideJaydee
4. Omukwano #tommyflavour f/t @OfficialAliKiba
5. Mtaje @harmonize_tz
#BURUDANI Kuna tofauti kati ya wasanii na wanamuziki, kwa #Mandojo na #Domokaya hawa ni wanamuziki kwa asilimia 100.
Wanaipiga live ngoma yao ya 'Nikupe nini' ambayo video yake imeachiwa rasmi siku ya jana Oktoba 7 kupitia Friday Night Live ya #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio
Tunafunga mitaa yote ya Tanzania na rais wao @naytrueboytz atakua na jambo lake usiku wa leo hapa #FridayNightLive ana mengi ya kushea na sisi.
Hatujamaliza bado kuna #Mandojo #Domokaya na video vixen wa Amelowa ya @harmonize_tz #SaySophie
#FridayNightLive #EastAfricaTV
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.2M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers
















