Top Tweets for #Matamko
Vijana wa kile chama huu ndo ulikuwa muda wao wa kutoa #matamko na kupinga yanayoendelea.
Aiseee tungewaona wanafaa sana vijana.
Anyway vijana bana wanafata upepo tu.
@Big0047 @ManenoIzaak @TumainiMakole @amos_m_william
Yaani #UBALOZI mnaendeshwa na #KUPELEKESHWA na @zittokabwe ? Shame on you
Mnatoa #MATAMKO ya #KIPUUZI na ya #KIZUSHI kila siku kwa faida ya nani sasa?
Mtu kanywa Konyagi Kalewa #CHAKARIII ameanguka kategua Mguu eti #KASHAMBULIWA
Hovyo kabisa
Japo tuko busy kuandaa #Matamko ya Jumuiya mbalimbali kulaani ndege yetu kukamatwa, napenda kuulizia hali ya #Gongowazi! Wanaendeleaje? 😁
Tunakoenda siko kabisa #matamko
Matamko kila kukichaa
@KakuruF @salim_alkhasas @Semkae @zittokabwe @YerickoNyerere @CarolNdosi @MariaSTsehai

MWAKA HUU
machinga waondolewe kwenye maeneo yote ambayo yako katikati ya mji,pembezoni ya barabara, waondoshwe haraka, miji lazima use safi.

Mama yetu siku izi hatoi #matamko tena nadhani ameanza kujifunza kwamba kilichompata Bwana yule chaweza kumsibu, ni kuisoma namba tu
Vijana tumekuwa tukipewa nafasi nyeti,lakin ukweli ni kwamba wengi hawajamaliza utoto #Matamko ya kitoto yanatolewa kitoto @DemokrasiaYetu
#ukosefuWaAjira
#ukame
#matamko
#kutokopesheka
#urasimu
#ucheleweshwajiMalipo
#ukosefuWaMalengoYaKitaifa
#nk?
Nadhani debate inahitajika https://t.co/5mBu2Z4Hzq
Vita hizi chanzo za ukata mitaani;
Dawa za akulevya
Ujangili
Ukataji miti
Ulipaji Kodi
Safari holeli
Ujambazi
Watumishi hewa- HT @ Nipashe

@macdemelo's ordeal was wake-up call: as disgustingly crazy as it's, I'm hoping these guys would now join us in demanding #UhuruWaKujieleza

Watanzania tumeyakataa #Mabadiliko yanayoenda pamoja na #Katiba mpya, tumechagua #Mabadiliko yanayoletwa kwa #Matamko!
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.6M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers
















