Top Tweets for #NASSARI
Wanasiasa uchwara hawana msimamo. Wana uchu wa madaraka. #Nassari,#Katambi,#Lijualikali,#Mashinji+#Silinde hawakuona wanajidhalilisha kwa kujiuza kama bidhaa kwa adui waliyekua wanapambana naye? Usaliti wao umelipwa barabara.
#KatibaMpya
#TumeHuruYaUchaguzi

#Nassari!! Umeawauza Wapiga kura wako Wa Arumeru kwa kipande cha fedha?Walikupa ridha ya kuwawakilisha Bungeni na hata Ulipozulumiwa Ubunge bado walikuwa Pamoja nawe! Leo Umeunga Juhudi?Shame kabisa wewe!

Kakaaa @ChademaMdude #Nassari ameunga mkono juhudi kistayle tu..
Ni tunamtetea tu lakini,karma ni yeye mwenyewe
Sijawahi kuona #PRESS Conference fupi na isiyohitaji maswali kama Hii ya @joshuanassari aliyoifanya leo
Mambo ya kujiuliza ni
Kwanini kaogopa maswali
Kuna mambo mengi yapo nyuma ya #NASSARI.
AMEUZA JIMBO

Kaka @godbless_lema iteni press na nini na nini nakubali, jielezeni,jiteteeni, lakini nakwambia huyu #Nassari amekupiga kanzu mchana kweupeee..ulimpa shavu akakutandika ipasavyo,, mimba inamzuiaje mtu kuhudhuria vikao vitatu vya Bunge? Lakini kwenye @ObamaFoundation ahudhurie?

Un réseau supporté par le FIDA investit dans l’atteinte du plein potentiel alimentaire des cultures vivrières en Afrique: https://t.co/FbLXOgeMGQ
- avec @IFAD @AfricaRice @narouganda @Nacrri_ug #nassari @isra_ceraas #CNRAbambey #CRAstlouis @Csir_Crops @Ma_RCCI

An IFAD-supported network invested in reaching the full food potential of crops in Africa: https://t.co/azo9tKb9Yr
with @IFAD @AfricaRice @narouganda @Nacrri_ug #nassari @isra_ceraas #CNRAbambey #CRAstlouis @Csir_Crops @Ma_RCCI

Bunge sasa linapaswa kuelewa kazi zake na ualali wake. Mwakilishi wangu bungeni anajifanya untouchable. #Nassari
Anxoves #NASSARI "00" amb compota de poma #BONíSSIMES!!! NASSARI
#anchoas #compotademanzana #BUENÍSIMA !!! :)

CHADEMA MP for Arumeru East Joshua #Nassari uses a chopper to reach remote areas in his constituency

>Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba wakishangilia wakati mjumbe mwenzao, Joshua #Nassari alipounga mkono... http://t.co/pxHgeMT7Cu
"Kwenye uchaguzi wa wabunge mawaziri wapo,kujadili ishu za wananchi wote hawapo bungeni" #Nassari
"Ivi hii ni nchi au saccos" good qstn #Nassari
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers























