Top Tweets for #NMBMarathon


#DearNyerere.
Kwa sasa Tanzania Kuna Kampuni kubwa sana inayouza Sports Gears 👕 zenye ubora wa Kimataifa....inaitwa #JustFit na mwaka huu imefanya Kazi na @NMBTanzania kwenye #NMBMarathon

Afisa Mkuu wa Operesheni UAP - Aurolia Kimaryo, Afisa Mkuu wa Fedha Sanlam Life Insurance - Mika Samwel, pamoja na Mkuu wa Masoko Sanlam Life Insurance- Killian Nango.
Hakika, mama ametabasamu!
#NMBMarathon #FistulaInatibika

Unyama wa #NMBMarathon 👕 by @JustFittz
Unahitaji 👕 za Marathon tukio lolote la kimichezo tuone #JustFit

Tujikumbushie kidogo vibe ya Mwendo wa Upendo!
Kupata picha zote za NMB Marathon, unaweza kubofya https://t.co/b8nttmgAMP
#NMBMarathon #FistulaInatibika

Kuna mda unaona kabisa KM hazisogei....kila ukicheki simu unaona @Strava imeganda.....
#NMBMarathon 👕 by #JustFit

"Mhe. Putin ujue hizi T shirts za #NMBMarathon zimetokea #JustFit.....hawa jamaa hawana baya kama wewe tu"

#NMBMarathon ilipambwa vizuri na 👕 kali kutoka @JustFittz
Unahitaji kutengenezewa T shirts kwa events mbalimbali kama Marathon karibu #JustFit
Trust us and we deliver. #FitnessFirst


📱📸 na katika mengineyo kutoka kwenye NMB Marathon 😀😀😀
Picha na @pichadunia
#NMBMarathon2022 #NMBMarathon #MwendoWaUpendo #pichadunia

NMB Marathon 2022 imekusanya Shilingi milioni 600 zinazoenda kusaidia matibabu ya kina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Fistula katika hospitali ya CCBRT. Kiasi hiki kinakamilisha lengo la kukusanya shilingi bilioni moja kwa kipindi cha miaka miwili.
📸 @pichadunia #NMBMarathon


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiwapongeza na kuwakabidhi zawadi washindi mbalimbali wa NMB MArathon 2022 katika mbio za Kilomita 5, 10 na 21
Picha na @pichadunia #pichadunia #NMBMarathon #MwendoWaUpendo

NMB Marathon 2022 imekusanya Shilingi milioni 600 zinazoenda kusaidia matibabu ya kina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Fistula katika hospitali ya CCBRT. Kiasi hiki kinakamilisha lengo la kukusanya shilingi bilioni moja kwa kipindi cha miaka miwili.
#NMBMarathon #pichadunia

NMB MARATHON 2022 PHOTOS THREAD BY @pichadunia
#pichadunia #NMBMarathon #FistulaInatibika #MwendoWaUpendo

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu @hamdu_shaka ameshiriki #NMBMarathon @NMBTanzania ambapo lengo la Marathon hii ni kukusanya fedha kwa ajili ya kurejesha Tabasamu kwa kina Mama wanaosumbuliwa na Fistula.
#FistulaInatibika

Waziri Mkuu Mhe. @KassimMajaliwa_ pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu @hamdu_shaka wameshiriki #NMBMarathon @NMBTanzania ambapo lengo la Marathon hii ni kukusanya fedha kwa ajili ya kurejesha Tabasamu kwa kina Mama wanaosumbuliwa na Fistula.
#FistulaInatibika

Last Seen Hashtags on Sotwe
EcosisMtiusLimited
Seen from United States
domtony
Seen from United States
anxiouspanda filter:videos
Seen from Canada
vahperd
Seen from United States
HelpWillCome
Seen from United States
solo #omegle
Seen from Italy
gazianteppasif
Seen from Turkey
ชอบดูเมียโดนเย็ด
Seen from Thailand
RespawnRumble
Seen from United States
gangbang
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers












































