Top Tweets for #SamiaMustgo
Travel to Tanzania for your own risk, its not safe.
The president @SuluhuSamia kill the citizen to stay in power. Then few weeks ago Tanzania @tanpol announce about more than 150 terrorist where 20+ of them are already in Court.
#FreeTundulissu
#NewConstitution
#SamiaMustGo
@MsigwaGerson Tanzania massacre committed by the murder squad @ccm_tanzania and the jihadist terrorist @SuluhuSamia on Tanganyikans in Tanzania. Over 10,000 murdered by these killers Julius Nyerere would jailed this criminals like @MsigwaGerson and the rest #CCMMustGo #SamiaMustGo

TAFAKARI
Kinachoendelea dhidi ya Nchimbi si geni kwake na ndiyo maana anaonekana anajiamini!
Kuna watu waliokuwa katika nafasi nyeti ambao huwa hawaguswi hovyo ila kimama kilitumia nguvu na vitisho kuwatoa
-Job Ndugai - Spika
- DG TISS watatu - Diwani, Masoro na Siwa walibadilishwa ka nguo na Bi Kizimkazi
- Philip Mpango - Makamu Rais aliambiwa asichukue fomu kabla hata ya muda na akachomekwa huyu Nchimbi
- Kassim Majaliwa - alizuiwa kuchukua fomu kugombea
Sasa Nchimbi alikuwa pembeni anaangalia na kushiriki wenzake wakitolewa - zamu yake imefika ila jaribio hiki ipo muda na anajua hatua wanazotaka kuchukua
Sasa angalieni hawa watanganyika wote wanatolewa kiholela na kimama mzanzibari na familia yake alafu nyie wengine mnaangalia tu! Na nyie mtafikiwa kama Nchimbi
Acheni kutumika na pambaneni tuache kukubali nchi kuendeshwa kama kiosk ya aspiring air hostess
Nasema #TutaelewanaTu

@HecheJohn Hawa vibaka wa CCM wanatafuta kiki tu, peleka moto! Wakijaribu kupora uhai wako, Ikurate nelakule, abhamura toghote ibhyoghe! @TunduALissu ni next Rais wa Tanganyika,@HecheJohn ni Rais wa Tanzania kwenye serikali 3 ijayo chini Katiba Mpya. #FreeTunduLissu #SamiaMustGo

😆 iko namna hii ndugu zangu #wananchi. #SamiaMuuaji na genge lake wamebanwa kimataifa, hakuna pesa. Tukiwaachia, wanakuja kututafuna sisi wote. Hawa magaidi watatumaliza. Lazima tuchukue hatua haraka sana. #CCMmustGo #SamiaMustGo for real. Tusiwachekee.
Pin this📌
‼️MFUMO MPYA WA KIMAGUMASHI WA KULIPIA FORODHA T-CAMS NA FAMILIA YA RAIS‼️
Kama nilivyowaeleza kuna kashfa kubwa na iko kwenye mfumo mpya wa ulipaji forodha ulioletwa ghafla bin vup na genge la watawala. Mfumo huu mpya unaoitwa T-CAMS inaendeshwa na kampuni inayoitwa Capital Pay ambayo mmiliki wake mkuu ni Garang Malek kutoka South Sudan. Kampuni hii ina kampuni shiriki inayoitwa Crawford Capital inayoendeshwa na mtoto wa Salva Kiir iliyopigwa sanction na Marekani kwa sababu ya UFISADI. Hii nitaiongelea siku nyingine tuje sasa kwa huku Tanzania
Capital Pay Ltd imeingia makubaliano na TAFFA au TASAC.
Tanzania ni Tanzania Freight Forwarders Association yaani Chama cha Wasafirishaji Mizigo Tanzania
TASAC ni Tanzania Shippings Agency Corporation au Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
Waliosaini mikataba ni mabosi wa haya mashirika ila wadau hawajashirikishwa kabla kikamilifu maana waligusiwa kwenye mkutano mkuu Oktoba 2025 ila wakaambiwa muda umeisha watapewa maelezo baadaye ndo ikaishia hapo. Sasa wamekuta tu March 16 hawa wamesaini mkataba na TAFFA na TASAC na TRA wameshuhudia haya. Huu mfumo mpya unataka malipo YOTE ya forodha ya uagizaji kutoka nje upitie hapo na hawa Capital Pay wanachukua 25% ya ada wanayolipwa mawakala wa usafirishaji. Mpo? Kumbukeni huu mfumo si wa MUUNGANO bali ni wa TANGANYIKA tu!
Sasa baada ya mawakala kuona haya madudu kupitia TAFFA wakaamka na kuanza kupinga huu utaratibu na kutaka maelezo zaidi.
•Uhalali na ubora kwa kutumia mfumo kutoka kwa taasisi ya kigeni iliyoanzishwa hivi karibuni, hasa ile inayotoka katika eneo lisilo na miundombinu imara ya bandari inayoweza kulinganishwa na ile ya Tanzania yaani South Sudan
•Athari za kiusalama zinazotokana na kuipa kampuni ya kigeni fursa ya kufikia taarifa nyeti za kitaifa za kibiashara, ikiwemo taarifa za uingizaji na usafirishaji wa bidhaa. Hali hii inazua maswali muhimu kuhusu ulinzi wa taarifa, usalama wa taifa, na uhuru wa nchi.
Wakapuuzwa! Wameendelea kufuatilia na ndipo ndugu yetu Mapete (Waziri Salum) akaibuka! Akaanza kuwatishia wadau na wengine wametekwa hivi karibuni kwani mfumo huu wa T-CAMS ilitakiwa kuanza kutumika Agosti 01. Waliotekwa wamepelekwa Central Police na wanahojiwa na kuteswa chini ya usimamizi wa askari mzanzibari Mzee Ibrah! Wanaambiwa wadau kuwa huu mradi ni wa familia ya Rais haramu Samia Suluhu na familia ya watawala wa South Sudan. Pia Mombo anatajwa kama mdau. Ila anayeonekana front ni huyu Mapete – bize!
Baada ya mambo kuzidi kuwa tete wazalendo wameamua wapeleke demand notice kwa wahusika wote wakiwemo TRA na kutaka wasitishe huu mfumo la sivyo watafunguliwa kesi na hoja ya kisheria ni kwamba kwa mujibu wa East African Community Customs Management Act, 2004, usajili, utambuzi na usimamizi wa Customs Clearing and Forwarding Agents uko chini ya Kamishna wa Forodha wa TRA. Sheria hii haitoi mamlaka kwa TAFFA au TASAC kusimamia leseni za Customs Clearing Agents isipokuwa pale sheria nyingine itakapotoa mamlaka hayo kwa uwazi. Katiba inalinda misingi ya utawala wa sheria, usawa mbele ya sheria na haki ya kufanya biashara kwa mujibu wa sheria. Kwa hiyo: taasisi yoyote inayoweka masharti au tozo bila mamlaka ya kisheria inaweza kuwa inakiuka misingi hiyo; haki na wajibu wa wananchi na wafanyabiashara lazima viwekwe kwa mujibu wa sheria, si kwa makubaliano ya kiutawala pekee. wapo kuna tozo mpya, ada ya lazima au mfumo unaowalazimisha Customs Clearing and Forwarding Agents kulipa kupitia TAFFA au TASAC, ni lazima ionyeshwe wazi kifungu cha sheria kinachoruhusu tozo hiyo.
Watanganyika AMKENI! Huu upuuzi hadi lini?
Kuna mengine mengi ila kwa sasa nimeanza na haya mengine tutafuatilia kimataifa!
ACHENI UPUUZI watanganyika kwenye mfumo!
#TutaelewanaTu

Wastaafu hamjalipwa pensheni na mmeambiwa nendeni Hazina
PR agency za nje wanalipwa milions of dollars kumsafisha mama!
Endeleeni kukaa kimya soon mtajua kwa nini nasema #TutaelewanaTu
Jamani eh nikisema #SamiaMustGo si chuki ni #Fact
This is bull—
We cannot move on without Truth, Justice and Accountability! You do not reconcile with a mass murderer ❌ never!
She haS ZERO backing even among CCM members!
Reconciliation starts with #SamiaMustGo
Samia’s reconciliation roadmap: Path to a New Constitution?
https://t.co/B3aJsjISEP

HRF condemns baseless terrorism charges that the regime of Tanzania’s dictator Samia Suluhu Hassan has filed against 61 Tanzanians — including opposition members and university lecturers and students — who were arbitrarily detained in the regime's violent crackdown on planned but suppressed Saba Saba protests of July 7. HRF calls for the unconditional release of the at least 130 people who have been illegally held for protests that never took place. This latest gross power abuse by Samia Suluhu Hassan exposes her fear of her own people and her fragility as an illegitimate ruler who exercises power through force and fear.

@EduTalkTz Huyu jamaa kumbe mjinga kiasi hiki! I feel so sorry kwa wanafunzi anaowafundisha. Hii nchi ndio maana Ina vijana wanahangaika kutwa kusifia ujingax2 tu. #CCMMustGo #SamiaMustGo
You knew the reaction, it’s a reason you’ve locked comments! @ccm_tanzania has lost truck 100%, the reason it’s taken over by wanamtandao who kill to protect their empires! #Samiamuuaji #SamiaMustGo #CCMout!
@swahilitimes MaCCM wasenge huwa wanajiona wajanja wakishaiba uchaguzi na KUUA watu na wengine kuwatupa JELA.
Mwisho wa CCM umefika.
#SwitchOffCcm #SamiaMustGo
#MAVIZIANO #KatibaMpyaNiSasa
@TitoMagoti Waendawazimu tu hawa 🚮 Alietoa amri ya watu kuchapwa risasi ni #SamiaMuuaji halafu analeta ngonjera na hivi vyama vya mfukoni. Who does she think she's kidding? 🙄Mpumbavu sana huyu mwanamke muovu. #SamiaMustGo to JAIL and she must be HUNG. MURDERER. 🚮
@ikulumawasliano Nani alitoa amri ya kuua #wananchi #TanzaniaMassacre? = Samia
Nani aliamuru majeshi yajiandae kwa uchaguzi? = Samia
Nani alizima internet kuanzia #M029? = Samia
Nani kamfunga Lissu? = Samia
@SuluhuSamia wacha ulaghai. You're guilty as HELL🚮 #SamiaMustGo
Nani alitoa amri ya kuua #wananchi #TanzaniaMassacre? = Samia
Nani aliamuru majeshi yajiandae kwa uchaguzi? = Samia
Nani alizima internet kuanzia #M029? = Samia
Nani kamfunga Lissu? = Samia
@SuluhuSamia wacha ulaghai. You're guilty as HELL🚮 #SamiaMustGo

‼️🚨BREAKING NEWS - TUNDU LISSU FAKE TREASON TRIAL TO RESUME‼️
The High Court in Dar es Salaam has scheduled the hearing of the case of treason no. 19605/2025 facing Tundu Lissu from 10/08/2026 to 07/09/2026.
Note: the Commonwealth deadline of 30 days to resolve Tundu Lissu’s politically motivated trumped up trial expires on August 10,2026 👊🏽
‼️WAMEBANWA‼️
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza
Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026.
Zingatia: Siku ya mwisho wameambiwa na Jumuiya ya Madola wapate suluhu ya kumwachia Lissu ni Agosti 10 😁 yaani tunafinya hadi mwisho!
Sasa msitupotezee muda
Mwachieni Lissu #FreeTunduLissuNOW

FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
FREE KIZZA BESIGYE NOW!✊🏾🇺🇬
#FreeKizzaBesigye
#MuseveniMustGo
#RutoMustGo
#SamiaMustGo
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

























