Top Tweets for #TPLB
DAR: Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Tsh. Milioni 30 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (#TPLB) kwa kosa la Wachezaji na Maafisa wake wa Ufundi kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, badala yake walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja katika mchezo dhidi ya Simba, Mei 3, 2026.
Pia, Yanga imepewa Onyo Kali kwa kosa la kuchelewa kuwasili uwanjani hapo kuelekea katika mchezo huo, iliwasili Saa 10:35 Alasiri badala ya Saa 10:30 Alasiri.
Wakati huohuo, Meneja wa Yanga, Walter Harson amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kosa la kumsukuma Clatous Chama, mchezaji wa Simba katika mchezo husika.
Soma https://t.co/UEtxRON8Kl
#JamiiForums #JFSports #Uwajibikaji

Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv kupitia Jukwaa la JF Sports ameibua mjadala akitaka kujua ni lini Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (#TPLB) na Shirikisho la Soka Tanzania (#TFF) watatangaza utoaji wa Tuzo za Msimu wa 2024/2025, akibainisha kuwa hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na msimu mpya upo mbioni kuanza.
Shiriki Mjadala https://t.co/k7w5AJweTC
#JamiiForums #JamiiAfrica #JamiiSports #Uwajibikaji #JFMdau2025

Kiungo wa klabu ya Young Africans, Peodh Pacome Zouzoua, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Juni katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, kufuatia mchango mkubwa alioutoa kwa timu yake katika mechi tatu muhimu za mwisho wa msimu.
#YangaSC #TPLB #MchezajiBora #KonceptTV

UPDATE
The TPLB continues to announce the match officials who will officiate the Kariakoo Derby between Young Africans SC and Simba SC, the 184th Premier League match, scheduled for June 25, 2025, at 17h00 at Benjamin Mkapa Stadium. #TPLB #LigiKuu @goligani @RevocatusMagum1

AHMED ALLY: “Sisi tumefurahi sana Simba Sports” sehemu ya maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akibainisha furaha yao baada ya kutangazwa kwa ratiba ya mchezo wa #KariakooDerby, ambapo sasa utapigwa Juni 15, 2025.
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#TPLB #KariakooDerby
MICHEZO: Chama cha #ACTWazalendo kimesema uamuzi wa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (#TPLB) kuahirisha mchezo wa #Yanga dhidi ya #Simba (Machi 8, 2025) haukuzingatia hasara mbalimbali zilizotokana na kuahirishwa kwa mchezo huo
ACT imesema inaona mwenendo wa Bodi hiyo umejaa malalamiko kutoka kwa Wadau wengi, kwa kuwa imekuwa ikiongozwa na utashi wa timu hizo za Kariakoo, jambo linaloharibu taswira ya ligi, heshima ya Tanzania kisoka na kuleta hasara kwa wadhamini, mashabiki na Wafanyabiashara
Kupitia tamko la Naibu Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (ACT), Monalisa Joseph Ndala lililowekwa ndani ya https://t.co/dDd21UgUb3 amesema wanaitaka Bodi ya Ligi iliyopo madarakani kujitafakari kama inafaa kuendelea kusimamia Ligi Kuu Bara au inapaswa kujiengua
Soma https://t.co/peKobic8qR
#JamiiForums #JFSports #KariakooDerby

Witchcraft claims postpone Yanga vs. Simba match! Reports say Simba arrived with goats, sparking fears of juju rituals. Was this superstition or strategy?
📖 Read more: https://t.co/CTI1o5ksGl
#YangaVsSimba #TPLB #WitchcraftInFootball
Bodi ya Ligi (TPLB) yatoa neno kuhusu dosari za waamuzi kwenye ligi kuu ya NBC, yasema inazifanyia kazi changamoto zilizopo huku ikilinganisha na kinachotokea nje ya Tanzania ……
Huyu hapa CEO wa bodi hiyo, Almas Kasongo
#TPLB #AlmasKasongo
OFFICIAL
"The league will return in the first week of February, starting with the Young Africans SC vs Kagera Sugar and Tabora United vs Simba SC matches. We initially expected it to return in March 1".
Almas Kasongo, CEO of the #TPLB. @goligani @DullahTheking2

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Steven Mguto na CEO Almas Kasongo, watoa ufafanuzi juu ya matumizi ya VAR.
Imeandaliwa na @mussa.katuga
#TPLBOrdinaryGoverningCouncil #MkutanoMkuuTPLB #TPLB #Annualmeeting #Tanzaniafootball #Ligikuu
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi azitaja agenda 11 za mkutano mkuu wa mwaka wa bodi ya ligi (TPLB)
Imeandaliwa na (@JairoMtitu28014 )
#TPLB #Annualmeeting #Tanzaniafootball #Ligikuu #KFA
Tazama namna Mwenyekiti wa Chama cha Soka Kigoma (KFA), Ahmed Mgoyi aalivyowakaribisha wajumbe wa Mkutano mkuu wa bodi ya ligi.
Imeandaliwa na @JairoMtitu28014
#TPLB #Annualmeeting #Tanzaniafootball #Ligikuu #KFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia aeleza namna kosoa kosoa za ndani kwa waamuzi zinavyoathiri ubora wa ligi kimataifa.
Karia ameyasema hayo katika mkutano mkuu wa bodi ya ligi unaofanyika mkoani Kigoma.
#TPLB #Annualmeeting #Tanzaniafootball #Ligikuu
“Ushindani ni mkubwa…michezo yetu haitabiriki tena kama zamani” – CEO wa bodi ya ligi atoa tathmini yake kuhusu mwenendo wa ligi kuu ya NBC msimu huu, ataja kitu kinachotakiwa kufanywa sasa na wadau, akumbushia “…walau kila timu imepoteza mchezo”
#NBCPL #NBCPremierLeague #TPLB
@eastafricatv #TPLB hii hii au kuna nyingine ngoja wapange robo fainal mbona watapangua bila kuambiwa😂😀😀
Wachezaji wa Simba SC, Kibu Denis na Henock Inonga wametozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) kila mmoja kwa makosa tofauti waliyoyafanya kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba dhidi ya Yanga SC. #NBCPremierLeague #TPLB

KUHUSU NGAO YA JAMII: Msikie Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) Almasi Kasongo akielezea maandalizi kuelekea michuano ya Ngao ya Jamii ambayo itaanza kutimua vumbi Agosti 09, 2023 Mkwakwani Tanga.
#SportsAM #BodiYaLigiKuu #TPLB
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers












