Top Tweets for #UTANI
Hili Life ukipanic tuu, ni kama linaona "huyu mbona anadeka hivi" 😆
Linazidi kukupelekea moto 🙌🏼
#utani tu
@EsirEid Tajiri Mungu kakupa Akili, na Pesa na lakini Mavazi kakunyima akampa @fadhili_ndilla #UTani 😃😁
@Said_Hozza Mtuachie vijana walipo tupate watu wa kuwaajiri 😁 mnataka wote tuwe waajiri sasa nani atafanya kazi nyingine?
#UTANI
Hali itakavyokuwa baada ya vijana kutoka maeneo tofauti nchini watakapofika Moshi December hii, unajiona wapi kati ya topic hizo hapo juu?
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Utani #December

Hali itakavyokuwa baada ya vijana kutoka maeneo tofauti nchini watakapofika Moshi December hii, unajiona wapi kati ya topic hizo hapo juu?
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Utani #December

@Father_Mayer @wasafirtanzania @SUPERFEOEXPRESS @shabiby_line @AlfieJoh @Yaund1Happyness @SouthernBuses @djnsajigwa @PiereTouch @PabloYende @TBoundBuses @BusWorldTZ @BakizaHamiss Davoo wa Shabiby ni kama anacheki kwenye side mirror na kusema, "hii polo mbona inanipumulia sana!!"
#Utani

Mheshimiwa @KTowanga nafikiri wakati wa kufungia huu mtandao wa X ni sasa, kwakua unasababisha viongozi kusumbuliwa, ili watu wote wahamie Facebook waangalie @JotiOfficial anavyojua kugeuza macho, wasahau kudai haki zao za msingi.
#Jokes #Utani
TAARIFA FUPI
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali).
Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza kwangu. Nimewasiliana na Mhe Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye tayari naye amepokea na anafanyia kazi hivyo, tumpe nafasi atatoa taarifa yake.
Ndugu Wananchi, ni dhahiri kuwa, alichofanyiwa 'Binti wa Yombo' ni kitu kibaya kisicho cha utu hivyo, anastahili haki yake kwa mapana yote.
Ndugu Wananchi, Nawasihi tujipe muda na kuamini kuwa, haki itatendeka kwa mujibu wa sheria na itaonekana bayana na siyo vinginevyo.
@tanpol @maendeleoyajami
Kama bikira Maria alipata seremala, wewe unataka engineer mwenye PhD ili iweje?!😄😃
#Utani
Amejiiibu maombiiiiiiiii.....🎼🎼🎹🎸🎸 #Utani
Clatous Chama kwenye Yanga SC ni kama kuwa na KuzaBusiness App – wote ni viungo muhimu kwa mafanikio! ⚽️📈
#UTANI😂 #FUJOZISIZOUMIZA
#DADAZ: Ni utani wa aina gani ambao unatakiwa kuwekewa mipaka?
#EastAfricaTv #Dadaz #Utani #Vijana #HainaKuchoka

ऊंटनी के दूध की चाय।
@maheshleelawat6
#chay #tea #teatime #tea #tealover #utani #camel #camelmilk #morning #morningtea
Photocopy machine Moja, ndio mmejifinya muonekane wote kwenye picha🤓😁
Ila hongereni sana, uchaguzi unanukia.
#Utani #Jokes #BongoLand
Shule ya Msingi Ukwama tuliahidi photocopy machine, tumetoa.

Maskini Joy!, hakuzoea kula ugali wa mtama, mboga ya kisamvu iliyochanganywa na maziwa, Tena asubuhi.
Zabibu na Ugali wa mtama😁
Na Mimi siku Moja niende Malembo HQ
@Joy_Mbura
#jokes #utani

Huko Scandinavia, waziri wao wa fedha ni mtaalam wa uchumi, ila anakopa balaa, full madeni 😁😁😁
#utani tu🦮
Last Seen Hashtags on Sotwe
pardi
Seen from United States
little
Seen from United States
sanfrancisco
Seen from Brazil
breastcancerawareness
Seen from United States
indian nude bath
Seen from India
gulceduru
Seen from Turkey
grannybbw
Seen from Turkey
Teen pussy
Seen from Brazil
Australia
Seen from United States
PictureOfTheDay
Seen from Poland
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.4M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers



















