Top Tweets for #VPL2017
Mambo yalivyokua katika utoaji medali za mshindi wa pili na wa tatu ligi kuu bara baada ya @yangasc1935 kunyukwa 3-1 na @azamfc #VPL2017

Simba watwaa mwali wao kwa kutwaa ubingwa Ligi Kuu ya Vodacom Msimu wa 2017/2018. #VPL2017
Mashabiki wa Klabu ya Simba wakiwasindikiza wachezaji wao baada ya kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2017/2018 #VPL2017
Maandalizi ya kuwakibidhi ubingwa Simba SC yakiendelea hapa Uwanja wa Taifa. #VPL2017

FT: Kagera Sugar wameharibu rekodi iliyokuwa inawekwa na Simba ya Kumaliza msimu wa 2017/2018 bila kufungwa. Kagera Sugar wamepata goli toka kwa
Simba 0-1 Kagera Sugar
#vpl2017
90'+3' Kaseja kaokoa. Walichokipata Barcelona toka kwa Levante ndo watakachokiona leo Simba. Wanafungwa bado mechi moja mkononi. Simba 0-1 Kagera Sugar.
#vpl2017
89' Simba wanapata Penati hapa. #vpl2017
82' Juma Kaseja yupo chini akiugulia maumivu, baada ya kuokoa shuti kali toka katikati ya nusu uwanja lililopigwa na Ndemla.
#VPL2017
74' Kona ya 9 kwa Simba, Kagera wakiwa na kona 1 tu. Inapigwa, Kaseja anaokoa. Mpira unaelekea lango la Simba.
#vpl2017
69' Sub: Shiza Kichuya OUT. John Bocco anaingia. Bila shaka, Kocha wa Simba anahitaji matokeo mazuri ya kumridhisha mheshimiwa.
#vpl2017
65' Simba wanapata direct free kick, karibu kidogo na 18. Kichuya anapiga, inakuwa ni goal kick.
#vpl2017
HT: Shamra shamra zinaendelea
#vpl2017
52' Kichuyaaaa!! Kaipiga na kugonga mwamba wa kulia wa goli. Beki ya Kagera inaokoa na kuamsha mbele.
#vpl2017
47' Hii mechi ni kama fainali. Mpira umeanza, wote wanacheza kwa uangalifu mkubwa. Wanafunguka zaidi wanapopata counter attacks. Simb 0-0 Kagera Sugar
#vpl2017
45'+2'Okwiiii, tena!! 😂 kutoka wing ya kushoto, anapiga ndogo inapaa juu. Bado ni goal kick.
#vpl2017
43' Kapombeeee! Ni yeye na Kipa tu! 😁Simba wanakosa magoli ya waziwazi. Wanazidi kupress mbele, lakini bado juhudi zinagonga mwamba. Simba 0-0 Kagera Sugar.
#vpl2017
Nani kuondoka na tuzo ya mchezaji bora?
#VPL2017
29' Kona ya 4 kwa Simba, ila Kaseja anaikamata kwa ulaini. Mpira sasa kuelekea lango la Simba.
#vpl2017
Last Seen Hashtags on Sotwe
diyarbakırtravesti
Seen from Turkey
CaughtOnCamera
Seen from United States
Ssbbw
CHUDAİ
Seen from Turkey
mgai()(())()
Seen from Netherlands
ankara türbanlı
Seen from Turkey
incest #taboo daughter
Seen from United States
incestoconmama #madreehijo
Seen from Colombia
tickle
KeiraCroft
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





