Top Tweets for #ViVaROMAViVa
@bonifacejoseph_ "Katiba ni Sauti ya Umma na Kuna Uhuru wa kuongea/ /Ninyi ndo mlionituma, mko teyari kunitetea?
Wilaya anaifanya Mkoa Ili awapange washikaji/ /Mkuu Wa wilaya changudoa kwenye miradi ya upigaji.."
#VivaRomaViva
'..Watasafirisha Nyani nyie mnashangaa twiga ? na atafungwa nani wakati yeye na Mwanasheria Mkuu ni maswahiba?..' #VivaRomaViva
@Roma_Mkatoliki ichikipande kimeondok na moyo wangu.
nimeweka ringtone mara moja.
Hakika kazi ya san unaifany na jami haina deni na ww ilo ulijue tuu leo au hata kesho haupo, big up san
#vivaromaviva ๐๐พ๐ช๐พ
"Watoto wao wanauza ngada,
Baba fisadi,
Mama anafanya ukahaba,
Yupi mwema kiitikadi,"
#VivaRomaViva
@Roma_Mkatoliki Kwetu raisi ni taasisi inayo chaguliwa na mfumo cc ni wawakilishi na kwenye maamuzi atumo una mpigiaje kura fisi awaongoze mbuzi kw hongo ndg ya kipisi ๐๐๐ #VIVAROMAVIVA #VIVAROMAVIVA
@Roma_Mkatoliki Sema nn we jamaa unaumwaga michano, kuna siku nimekuchek sehemu unachana โnaokoa muda Kama ngโombe natembea huku naachia makimbaโ #vivaromaviva we ni mtu mbad halfu mzee Baba jitahiti ufanye ngoma na fid q bas au mnakunjianaga @Roma_Mkatoliki
@MariaSTsehai @lifeofmshaba @Roma_Mkatoliki Machoz Ya Watanzania Hayata waacha salama..,Damu zilizo mwagika milele zita waandama..โ๐พโ๐พ
#VIVAROMAVIVA
#VivaRomaviva
.......... sina hela ya kiroba Rashid nigongee ugoroo .......... @Roma_Mkatoliki
Hii ngoma kali sanaaa na bado inaendelea kuishii
Nimekaa nikaskiliza nyimbo 4 za @Roma_Mkatoliki
1.#Mathematics
2.#2030
3.#vivaromaviva
4.#anaitwaroma
Kwakweli uchaguzi huu sitafanya kosa kwakweli๐
@millardayo #VivaRomaViva By @Roma_Mkatoliki
"Doctor Mvungi, Ona Daah!
Wakamzawadia jeneza na hawafungwi nipe kesi nitaimba ndani ya gereza"
@Roma_Mkatoliki @Madeeseneda acha jamaa atafute pombe ya kumwagwa tuu hakuna utungaji hapo sema alichopatia ni kuiita nyimbo 2060 make kuna watu hatuna tabia ya kuskiliza nyimbo za kuombea mashavu kbs hvo katuweza make ukiona jina unaweza sena ni bonge la ngoma kumbe jau tu..#VIVAROMAVIVA
'Nchi inalima Pamba...Ninyi Mmeua Viwanda....
Tunauzia wawekezaji Tazama Dola Inapanda....'
@Roma_Mkatoliki #VivaRomaViva 2015
"Tumechoka Taifa hili unalima Pamba unaisafirisha kama malighafi, halafu wakishatengeneza nguo wanazivaa wanakuletea mitumba wakati Pamba ni yako, sisi tunataka tukilima Pamba tunai-process hapa zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza" -@MagufuliJP
#JPMKuchukuaFomu

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyeendeshwa na tumbo bali akili, haitaji elimu ya uraia zaidi ya hii. #VIVAROMAVIVA
-Wakiwapa Jezi Vaeni!
-Wakiwapa Vitenge Vaeni!
-Wakiwapa Kanga Na Kofia Vaeni!
-Wakiwapa Pesa Pokeeni Kuleni!!
-Wakiwaalika Chakula Nendeni Kuleni!
-Wakiwapa Pombe Kunyweni Hadi Mlewe!
Kisha Watawaomba Muwachague #KATAENI
Kiongozi Bora Si Yule Anaekurubuni Kwa Material Things!
"nipige risasi ya utosi si ndio nidhamu ya utawala? Maana waliomuua Mwangosi waliongezewa mshahara! Dokta Mvungi, ona daah! Wakamzawadia Jeneza na hawafungwi, nipe kesi nitaimba ndani ya gereza" โ @Roma_Mkatoliki #vivaromaviva
"mikataba iwekwe wazi, demokrasia ni watu, ona sasa kila msomi anakimbilia siasa, nchi itajengwa na nani?" โ @Roma_Mkatoliki #vivaromaviva
"uhuru upo wapi? Mnasherekea uhuru? Uhuru wa kutowafilisi viongozi wakijiuzulu na wanakufa maskini wanangu wa Bulyanhulu, Mungu aliwapa madini, mnambinafaisha mkaburu" โ @Roma_Mkatoliki #VIVAROMAVIVA
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichatt()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()()() filter:videos
Seen from United Kingdom
minichat
Seen from Germany
teenageer
Seen from Canada
MGAI
Seen from United States
malaysia #sex
Seen from Malaysia
snehapaul
Seen from India
anxiouspanda() +filter:native_video since:2026-10-16
Seen from Pakistan
brattychewing
Seen from United States
brosis()* +filter:native_video
Seen from Germany
anxiouspanda since:2026-09-20 filter:videos
Seen from Germany
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


















