Top Tweets for #Wasukuma
#Wasukuma watani zangu jengeni vyoo sio kujisaidia vichakani mwishowe mung'atwe na nyoka ona huu mzee anavyotia aibu.

#WASUKUMA mnapenda sana sifa,mngesombwa namagari ingekuwaje,saizi CCM matumbo jπππβ
β
β
β
β
β
β
β
π
#NoReformsNoElection
ππππππππππππ

#Wasukuma
βοΈ Siku si nyingi, wasukuma wanakwenda kutuzidi kwenye kila kitu katika sekta nzima ya usafirishaji. Wanakuja vizuri mno. Utakuja kuwa ukanda wenye huduma nzuri bora na za kisasa sana katika suala zima la usafirishaji abiria.
βοΈ Utakuwa ukanda wenye mabasi mapya, tena mchanganyiko kama Yutong, Higer, G7, Dragon nk.. ukilinganisha na Kanda nyingine ambazo wakurugenzi wamejikita kwenye aina flani ya mabasi.

#Taasisi
βοΈ Mmeona mandege ya Taasisi? Ila #Wasukuma mna pesa sana sikuhizi. Ally's ndo alikuwa mkurugenzi wa kwanza kuweka Gari VVIP Tanzania nzima Lenye bei juu kushinda wooooote.
βοΈ Wakaja baadhi ya wakurugenzi wakajaribu huu mchezo kwa kuweka VIP buses na wao, lakini yaliwashinda na wakaamua kurudi kwenye Daraja la kati kwa sababu zao.
βοΈ Ally's hakuweweseka akabakia ma #EBF yake pale pale na magharama yake. Sasa kaamua kuleta #LenyeChoo 2 x 2 lakini nauli yake bado ni ya moto sana 100,000/=.
βοΈ Ukitoa wingi wa gari, hakuna basi zinanauli kubwa kushinda za #Ally's. Huyu mwarabu ni suala jingine. Hii ni Taasisi kamili.

#Wasukuma
βοΈ Wasukuma mnapapenda Mwanza asee... Chuma kuanzia leo mpaka Jumamosi Tarehe 23 ziko Ngaaaaa! Khaaaa! Kweli mimi wa kusafiri na #TravelPartner? Sawa ninaomba mnikumbuke katika sala. Nimebeba Ma mikate ya kutoshaππ.
βοΈ Kipindi hiki Wakurugenzi wanatamani wawe na Chuma 20 kwa 20 si kwa taabu hii. Yaani hakuna chuma iko wazi, hivi ninyi wasukuma mnakwenda wapi?

#Wasukuma, kabila la watu wenye nguvu na hodari katika kazi. Kwa heshima ya wasukuma wote
#Retweet_1000
Kaamua kujinunulia na kujimilikisha njia ya Mwanza Mbeya via Iringa. Hapa #Wasukuma huwaelezi chochote.

@CarolNdosi Kwenye picha, ni uhifadhi wa asili katika jamii za #Wasukuma ujulikanao kama #MALULI . unaweza kuhifadhi mahindi kwa miaka 2-3. Hizi ni teknolojia za asili ambazo zikiimarishwa kwa kuongezewa ubunifu zinaweza kuwa mchango mkubwa kwenye sekta ya kilimo kwa kile kijulikanacho kama βHome grown technologiesβ #KilimoNiAjira

#KilimoTips
πKasulu-Kigoma.
Nimepita mahala panaitwa #Mvugwe,Kasulu- kigoma #Wasukuma ni wengi na wamefanikiwa sana wametumia aridhi hii nzuri kulima zao la Mpunga. #KilimoNiAjira
@MalemboFarm
@MalemboIntern
Alooo!Kuna kijana wa kazi kutoka Mwanza nimemuita kuja kufanya kazi(shambani) Uku Mkoa wa Pwani,Tumekubalina namna ya kufanya kazi,ila akaniambia kwa #kilugha naomba kesho niende kwa Bibi nikamuage si βunajuaβ ili nije kesho kutwa. #Wasukuma
β@MalemboLE
@wasafirtanzania Niliteseka sana kwenye DYD #Wasukuma hawajui kutumia hiyo huduma, choo kilijaa haja ndogo mpaka kikafloat, walishindwa kuflash wakati wanapewa maelekezo kabisa na konda yani.

Last Seen Hashtags on Sotwe
KampungPadangChicak
Seen from United States
eightmarbles
Seen from United Kingdom
teenageee
Seen from Japan
γγγΌγγ«
Seen from United States
ΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ£ΰΈ΅ΰΈ’ΰΈ
Seen from Thailand
sleeping blowjob
Seen from Germany
nsfw
Seen from Turkey
fakechristian
Seen from United States
minichat
Seen from United States
gaynudist
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























